Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Sarafu ya pamoja itatupa nguvu ya kuingia makubaliano ya kutumia sarafu yetu kwenye biashara za kimataifa badala ya dola ya Marekani.
Hususnani baina yetu wenyewe na pamoja na mataifa tunayofanya nayo biashara kwa wingi kama vile Afrika Kusini, India na China.
Kama inashindikana kuelewana na wana EAC wemzetu, basi tuwageukie ndugu zetu wa SADC, tuwashawishi kuunda benki kuu moja, na sera ya fedha moja.
Ni muda wa kuwa na sarafu yetu yenye nguvu. Huko nje kila mtu ni myonyaji, si magharibi wala mashariki.