Wito kwa EAC, tuharakishe sarafu ya pamoja, dunia itatuacha

Wito kwa EAC, tuharakishe sarafu ya pamoja, dunia itatuacha

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
4,437
Reaction score
13,836
Sarafu ya pamoja itatupa nguvu ya kuingia makubaliano ya kutumia sarafu yetu kwenye biashara za kimataifa badala ya dola ya Marekani.

Hususnani baina yetu wenyewe na pamoja na mataifa tunayofanya nayo biashara kwa wingi kama vile Afrika Kusini, India na China.

Kama inashindikana kuelewana na wana EAC wemzetu, basi tuwageukie ndugu zetu wa SADC, tuwashawishi kuunda benki kuu moja, na sera ya fedha moja.

Ni muda wa kuwa na sarafu yetu yenye nguvu. Huko nje kila mtu ni myonyaji, si magharibi wala mashariki.
 
Tanzania hatuko tayari na mkataba wowote duniani, ebu nitajie mmoja tu.
Mimi nakukumbusha tu ile EAC iliyopita yaani East African Community. Unayakumbuka ya nyang'au? Ikiwa huyakumbuki waulize wanaoyakumbuka.
 
Back
Top Bottom