Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani issue si kujiuzuru anatakiwa aoneshe kuchukizwa na matokeo haya na achukue hatua Amfukuze huyu Kocha mara moja amrudishe Kim Poulsen haraka sana aichukue timu kujiandaa na mechi ya Nigeria na kwa Kim itakuwa kazi rahisi maana sehemu kubwa ya wachezaji wenye viwango vya kuchezea Taifa Stars kipindi hiki kawatengeneza yeye.
Mi nimefurahi sana tulivyo pigwa na Mimi nasema tuendelee kupigwa tu!
hata kwangu pia naona hivi.
Hatuwezi kufungwa kila siku, mpaka timu za ajabu ajabu zinatufunga hata droo tunashindwa?
Malinzi ndo aliyemleta huyu kocha na kumtimua Kim kisa tu alikuwa ameletwa na Tenga, Uongozi wa Malinzi ndo wa hovyo kabisa.
Real Madrid walimfukuza kocha wao kwa kukosa ubingwa mwaka huu na wakati alishawahi kuchukua kombe. Mnaua soka la bongo heri ujiuzulu maana umeshindwa!
nyie si ndio mlimsifia sana wakati anachaguliwa, endeleeni kuugulia maumivu ya vipigo kila siku.
siku hizi sitaki hata kujua stars kacheza na nani sembuse matokeo yake.
Mi nimefurahi sana tulivyo pigwa na Mimi nasema tuendelee kupigwa tu!
Kila mzungu anaweza kuwa kocha wa taifa star hata michezo ameisoma kwenye gazeti naomba mechi ijayo tufungwe goli 7-10
Mpaka blatter ajiuzuru kwanza
Hatuwezi kufungwa kila siku, mpaka timu za ajabu ajabu zinatufunga hata droo tunashindwa?
Malinzi ndo aliyemleta huyu kocha na kumtimua Kim kisa tu alikuwa ameletwa na Tenga, Uongozi wa Malinzi ndo wa hovyo kabisa.
Real Madrid walimfukuza kocha wao kwa kukosa ubingwa mwaka huu na wakati alishawahi kuchukua kombe. Mnaua soka la bongo heri ujiuzulu maana umeshindwa!
Njoo huku tushabikie TWANGA PEPETA
hizi ndio bangi malinzi ndio anacheza je tanzania mashindano hayo tumewahi kufanya vizuri mara ngapi