Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Katika makocha wote waliowahi kuifundisha Taifa stars, mimi namkubali Marcio Maximo tu.
Ila mara nyingine waTZ tuache hii tabia ya kila mtu kujifanya kocha na baadaye kuleta ushabiki wa simba na yanga kwa timu ya Taifa, ushabiki ambao mara nyingine hupelekea kuondoa makocha wazuri...