Jamaa anafaa sana but sijui kama atakubali kwani 2005 walimpiga makombora mazito sana ambayo yalim frustrate hata akafikia hatua ya kusema siasa za Tanzania sasa basi!!!
Siasa za Tanzania hasa kwenye CCM zimegeuka kuwa siasa za makundi..wenye nazo ndio wanatengeneza na kuongoza makundi. SAS hana kundi na wala hafiti kwenye kundi lolote lenye nguvu ndani ya CCM. Kwa hilo hawezi kufanikiwa hata akiamua kubadili mawazo na kugombea.
kwa kweli jamaa alipagawa sana maana alipigwa makombora mpaka akapoteza utulivu wa mawazo...but he is a very good leader, well composed on issues and well articulated compared to ze mkwere wetu.Jamaa anafaa sana but sijui kama atakubali kwani 2005 walimpiga makombora mazito sana ambayo yalim frustrate hata akafikia hatua ya kusema siasa za Tanzania sasa basi!!!
kwa kweli jamaa alipagawa sana maana alipigwa makombora mpaka akapoteza utulivu wa mawazo...but he is a very good leader, well composed on issues and well articulated compared to ze mkwere wetu.
Is Kikwete an old blood??We want a new blood and revolutionary ideas. Yes, Salim is a leader of his time. We want people who can focus and think of Tanzania 100 years to come and not only their office tenure...
We want a new blood and revolutionary ideas. Yes, Salim is a leader of his time. We want people who can focus and think of Tanzania 100 years to come and not only their office tenure...
I agree with your views 100%. Yes it's about time the baton should be passed to a young leader with a clear vision of morden era we are living in.
The big question is WHO? When I look around the only person I can see with that 'potential' is Zitto but he is not experienced enough yet for such a high position.
If we put our political affiliation aside, we have to agree that right now there is no-one qualified for that position more than SAS.
He has such impressive CV and command respect on the world stage. I believe he's the right person for our country right now no matter what party he'll stand for.
Ndio maana siwezi kusubiria kuona debate kati ya Salim Ahmed Salim na Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu issues na mwelekeo wa Tanzania. Nina uhakika siku hiyo Tido Mhando atasingizia kuwa mitambo ya satalaiti ina matatizo ili asiirushe live.
We want a new blood and revolutionary ideas. Yes, Salim is a leader of his time. We want people who can focus and think of Tanzania 100 years to come and not only their office tenure...
nafikiria umekosea sijui ulifikiria cuf?Mzee Salim,
Labda kwanza nianze na utambulisho mfupi -
Mimi ni mmoja wa vijana wa kitanzania ambao tulikutana nawe kwenye moja ya hotels kule Cairo na kufanya mazungumzo ya kina nawe kuhusu siasa za Tanzania (miaka kadhaa iliyopita).
Pili - moja kwa moja kwenye ujumbe -
Naomba ubadili mtizamo wako kuhusu siasa za Tanzania na ufanye kile cha maana (do the right thing) - uombe kupewa uraisi wa Tanzania kwa kupitia chama cha mapinduzi mwakani (2010).
Ni hayo tu kwa leo.
Asante
Hiyo ni kweli Yebo Yebo kuwa CCM kuna makundi na mitandao n.k - and that's and could be the point here. Kuna kundi la watu ndani ya ccm ambao wameanzwa kuchoshwa na ubinafsi wa wanamtandao.
Wana mtandao (wa Kikwete) sio tu kuwa wana ikulu, bali pia wanataka kuamua pia nini kifanyike ndani ya bunge na kwenye shughuli za kila siku za bongo. Kumbuka kuwa wengi wao ni mawaziri au wakurugenzi kwenye sekta kuu za nchi.
SAS anaweza kutumia upenyo huu kuanzisha mtandao wake (yes .... naye pia ajenge mtandao wake) kumpinga Kikwete. Kutokana na umafia wa kila siku unaofanywa na wanamtandao wa Kikwete, SAS ana nafasi kubwa tu ya kuwachukua wale walio nje ya seti hii.