Wito kwa Serikali: Gharama za Vivuko vya Azam Kigamboni-Magogoni iangaliwe Upya

Mtu awekeze mabilioni alafu wewe kajamba nani unakuja kulazimisha bei, ukiona huwezi kulipia panda hizo za wenzako akina kajamba nani waachie wenye uwezo na level ya hizi za bakhresa, KELBU wahed
Bahati mbaya Azam vi Seatax havivushi magari.
Maskini mlio wengi ndio mnaongoza kwa kuwatukuza matajiri.
nonsense 😠
 
Hoja Jamnjajambo zuri sna hilo
 
Kwani Mwanzo sea tax ilikuwa sh ngap? Na unajua sababu ya kufanya 500?
Mfumo wa uendeshaji umebadilika ndio sababu mwanzo nauli ilikua 200tshs na serikali ilikua inakusanya makusanyo yote ndipo inamlipa azam lakini sasahivi azam anakusanya mapato yake ndipo na yeye analipa serikali.

Mwanzoni alipewa tender na temesa ila sasahivi kaingia kama mwekezaji kipi usichoelewa?
 
Kwanini wasiweke vivuko vilivyo Bora wananchi wakalipia Bei moja kama awali?
Mbona mwanzo vilikuwa vinarun vivuko vitatu?
Wameshaweka mazingira ya upigaji, Kwa utaratibu huo vivuko vya umma havitaongezwa Tena wala kuboreshwa kitabaki kilekile kimoja ili bakhresa na aliye nyuma yake waendelee kupiga hela za watanzania.
Hatari sana
 
Hata hicho kimoja watakiua pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…