Wito kwa Serikali: Gharama za Vivuko vya Azam Kigamboni-Magogoni iangaliwe Upya

Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.

Ni jambo jema japo lilichelewa.

Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao watauza kwa Tsh 3,000/= kutoka Tsh 1,000/= (N-Card)

Wanaotumia hivi vivuko kwa wingi zaidi ni Wanafunzi.

Wanachuo walio wengi wanaishi Kigamboni kwasababu ya urahisi wa kuvuka, means analipa Tsh 400 tu kwa siku anafika Chuo.

Kwa sasa itawalazimu kulipa 1,000/= kwa siku ili waweze kutumia SeaTax.

Waangalie hili linaweza kuathiri mambo kadhaa au lengo lililopo lisiafikiwe, watu wakaendelea kubanana kule kule kwa Tsh 200.
Ukifuatilia hapo utakuta hiyo bei umefika hapo Kwa sababu ya Kodi za serikali
 
Ukitaka kizuri basi uwe tayari kugharamia. Kwani cha 200 kimefutwa? Si bado kipo? Ukiona huwezi kulipa 500 nenda kwenye 200.

Mtu kaingia gharama kuweka vivuko bora zaidi ya serikali halafu bado unataka aweke bei sawa na ya serikali?

Kuna anaekula ubwaba na nyama kwa buku jero na kuna anekula ubwabwa huo huo kwa elfu kumi na tano. Ni swala la kipato na maamuzi.
Si kweli sea tax analipwa na serikali kwahyo vivuko Bei inapanda badala ya 200 inakuwa 500 haijalishi unapanda kipi
 
Tunaomba mamlaka iangalie upya hii bei ya kuvuka Kigamboni to kivukoni kwa Seatax Sh500 ni ongezeko kubwa mno maana ni zaidi ya 100% bei tunayo panda kwenye vivuko vya serekali hii hawajatusaidia wametuongezea tatizo..
 
Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.

Ni jambo jema japo lilichelewa.

Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao watauza kwa Tsh 3,000/= kutoka Tsh 1,000/= (N-Card)

Wanaotumia hivi vivuko kwa wingi zaidi ni Wanafunzi.

Wanachuo walio wengi wanaishi Kigamboni kwasababu ya urahisi wa kuvuka, means analipa Tsh 400 tu kwa siku anafika Chuo.

Kwa sasa itawalazimu kulipa 1,000/= kwa siku ili waweze kutumia SeaTax.

Waangalie hili linaweza kuathiri mambo kadhaa au lengo lililopo lisiafikiwe, watu wakaendelea kubanana kule kule kwa Tsh 200.
Hicho ni Kivukoni binafsi

Panda cha serikali, pitia darajani au Piga mbizi Kama magu alivyosema
 
Ukitaka kizuri basi uwe tayari kugharamia. Kwani cha 200 kimefutwa? Si bado kipo? Ukiona huwezi kulipa 500 nenda kwenye 200.

Mtu kaingia gharama kuweka vivuko bora zaidi ya serikali halafu bado unataka aweke bei sawa na ya serikali?

Kuna anaekula ubwaba na nyama kwa buku jero na kuna anekula ubwabwa huo huo kwa elfu kumi na tano. Ni swala la kipato na maamuzi.
Watanzania tuna shida sana

Hatujui mtu katumia Kiasi gani kunununkivuko lakini tunampangia bei

Sisi letu ni kubeti, mpira, tamthilia, bongo fleva na raha

Tupande tu cha serikali Kama vipi
 
Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.

Ni jambo jema japo lilichelewa.

Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao watauza kwa Tsh 3,000/= kutoka Tsh 1,000/= (N-Card)

Wanaotumia hivi vivuko kwa wingi zaidi ni Wanafunzi.

Wanachuo walio wengi wanaishi Kigamboni kwasababu ya urahisi wa kuvuka, means analipa Tsh 400 tu kwa siku anafika Chuo.

Kwa sasa itawalazimu kulipa 1,000/= kwa siku ili waweze kutumia SeaTax.

Waangalie hili linaweza kuathiri mambo kadhaa au lengo lililopo lisiafikiwe, watu wakaendelea kubanana kule kule kwa Tsh 200.
Mitano Tena,
Mama anaupiga mwingi
 
kwani mkuu toka kigamboni hadi magogoni kuna umbali wa urefu wa KM au mita ngapi hata mm naona daraja muhimu sana au umbali utakuwa umezidi lile daraja la tanzanite kigamboni.!
Suggestions zipo nyingi sn juu ya kuwasaidia waKazi Kigamboni;

1. Ujenzi wa underwater tunnels (daraja la mahandaki) ambalo litapitisha magari na wananchi, daraja hilo linaweza kuwa sehemu ya utalii kwani ni km litakuwa daraja la kwanza nchini na kwa nature ya shughuli za kigamboni hilo linaweza kuwa sehemu ya utalii na kuongeza mapato. Njia km PPP inaweza tumika kuwekeza mradi km huu.
2. Ujenzi wa daraja refu kwa mwinuko ambalo halitakuw kikwazo kwa meli aina yoyote.
3. Ujenzi wa daraja la kufunga na kufungua kulingana na uhitaji wa wakati huo. a) litafunga kupitisha magari/ wananchi/ au vyote kwa pamoja b) litafunguliwa kuacha uwazi kupitisha meli. Lkn kwa kuanza lingejengwa just daraja la kupisha only watembea kwa miguu.
 
Tunaomba mamlaka iangalie upya hii bei ya kuvuka Kigamboni to kivukoni kwa Seatax Sh500 ni ongezeko kubwa mno maana ni zaidi ya 100% bei tunayo panda kwenye vivuko vya serekali hii hawajatusaidia wametuongezea tatizo..
Leo wameanza, ila nyomi bado iko upande wa mia mbili.
Kwa kifupi, mission failed.
Azam wakae chini kure-structure gharama zao.
 
Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.

Ni jambo jema japo lilichelewa.

Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao watauza kwa Tsh 3,000/= kutoka Tsh 1,000/= (N-Card)

Wanaotumia hivi vivuko kwa wingi zaidi ni Wanafunzi.

Wanachuo walio wengi wanaishi Kigamboni kwasababu ya urahisi wa kuvuka, means analipa Tsh 400 tu kwa siku anafika Chuo.

Kwa sasa itawalazimu kulipa 1,000/= kwa siku ili waweze kutumia SeaTax.

Waangalie hili linaweza kuathiri mambo kadhaa au lengo lililopo lisiafikiwe, watu wakaendelea kubanana kule kule kwa Tsh 200.
Mtu awekeze mabilioni alafu wewe kajamba nani unakuja kulazimisha bei, ukiona huwezi kulipia panda hizo za wenzako akina kajamba nani waachie wenye uwezo na level ya hizi za bakhresa, KELBU wahed
 
Suggestions zipo nyingi sn juu ya kuwasaidia waKazi Kigamboni;

1. Ujenzi wa underwater tunnels (daraja la mahandaki) ambalo litapitisha magari na wananchi, daraja hilo linaweza kuwa sehemu ya utalii kwani ni km litakuwa daraja la kwanza nchini na kwa nature ya shughuli za kigamboni hilo linaweza kuwa sehemu ya utalii na kuongeza mapato. Njia km PPP inaweza tumika kuwekeza mradi km huu.
2. Ujenzi wa daraja refu kwa mwinuko ambalo halitakuw kikwazo kwa meli aina yoyote.
3. Ujenzi wa daraja la kufunga na kufungua kulingana na uhitaji wa wakati huo. a) litafunga kupitisha magari/ wananchi/ au vyote kwa pamoja b) litafunguliwa kuacha uwazi kupitisha meli. Lkn kwa kuanza lingejengwa just daraja la kupisha only watembea kwa miguu.
Hii ya Underground itachukua miaka mingi sana.
Hii kufunga na kufungua itachukua miaka mingi zaidi.
Hii ya daraja la juu zaidi it can work ila sijui elevation yake wataianzia wapi.
Ikiwezekana Dar utakuwa mji wa kisasa
 
Back
Top Bottom