Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
NakaziaAPEWE NA MWENDOKASI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaAPEWE NA MWENDOKASI.
Naona wamesahau😀Waliwahi kuambiwa huko nyuma... kaMaHaWawezikulipawapiGeMbIzI
Unatetea kitu usochojua au umeamua tu kuwa chawa ila ukweli unaujua. Ndio wameua vivuko makusudi ili wampe Azam kazi.Umetoka namanyele juzi unabwabwaja wameua kivuko,vivuko kivukoni ni saratani ya muda mrefu
Wasiangalie. Na badili yake serikali iige na kuleta daladala za viwango vya vip.
Daladala ambazo hazotoshimamisha abiria. Daladala ambazo nauli yake itakuwa mata mbili ya nauli za kawaida.
Kwa maana hiyo mifuko cha serikali kiendelee kwa bei ya sh 200. Lkn viboko vya azam waweke sh 505 sawa na vip.
Na daladala zina hitaji hilo pia
Hawajali chochote ili mradi wapate cha juu. No hatari sana hawa watu. Wanaweza kuuza chochote.Nchi ikiendeshwa hivi wanaoteseka ni wananchi
Kuna pantoni moja tu inayofanya kazi sasa, na kulikuwa na vivuko viwili, MV Kazi na Mv Magogoni. Sasa ulichoandika ni kama ile press ya Jeshi la Polisi kuhusu kutekwa kwa Mo DewjiUmetoka namanyele juzi unabwabwaja wameua kivuko,vivuko kivukoni ni saratani ya muda mrefu
Hivyo vivuko vyote ni shida tangu 1990sKuna pantoni moja tu inayofanya kazi sasa, na kulikuwa na vivuko viwili, MV Kazi na Mv Magogoni. Sasa ulichoandika ni kama ile press ya Jeshi la Polisi kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji
Njia zao. Si mwendo kasi. What if uko ktk njia zao na umekaa na haitosimamisha. Bila ya shaka utawaji kufikaZipite wapi?
Kwenye mwendokasi ama?
Umbali wa barabara hupimwa per kmHivi hizi bei huwa zinapangwa kwa utaratibu gani?
Serikali inalalia watu wake!!Unatetea kitu usochojua au umeamua tu kuwa chawa ila ukweli unaujua. Ndio wameua vivuko makusudi ili wampe Azam kazi.
Miaka michache nyuma hapo palikuwa na vivuko vitatu. Mv Magogon,Kigamboni na Kazi. Vyotw vilikuwa vinafanya kazi vizuri kabisa. Mimi mwenyewe nilikuwa natumia kivuko niliachana na daraja. Hapo saa moja na nusu au saa mbili nilikuwa navuka ndani ya 25minutes. Ghafla wameingia hawa wala kwa urefu wa kamba vivuko vineanza kuharibika na kuachwa vioze kimoja kimoja. Na kwa kumaliza kabisa wakaamua wapeleke kivuko kimubwa kikatemgenezwe Mombasa kisa mtengenezaji mzawa Kagoma kuendana na matakwa yao. Sasa mwaka wa tatu kivuko kimo huko Mombasa na hata hatujui nini kinaendelea na hakuna anaehoji. Ni ujinga ujjnga tu ili mradi wapeane ulaji na 10% hakuna chochote cha ajabu ambacho Azam anaweza kufanya kiwashinde serikali na vivuko vyao ni uhujumu tu.
Mshahara wa wiki wa mchezaji pale EPLHela walizowekeza sio ndogo
Niliwaza kutafuta wabia wawili tulipe tugawane gharama
Ila kwa kuwa wameishawaza na kuwazua kwa serikali hii basi acha niwaze kivingine maana China wanazo za kuanzia watu 100
Mfano upo hapa
Haya kazi kwenu
Ila kwa bei hizo ni sawa maana bei zake sio mchezo View attachment 3203409
Kama huwezi lipa tsh 500 piga mbiziNapongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.
Ni jambo jema japo lilichelewa.
Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao watauza kwa Tsh 3,000/= kutoka Tsh 1,000/= (N-Card)
Wanaotumia hivi vivuko kwa wingi zaidi ni Wanafunzi.
Wanachuo walio wengi wanaishi Kigamboni kwasababu ya urahisi wa kuvuka, means analipa Tsh 400 tu kwa siku anafika Chuo.
Kwa sasa itawalazimu kulipa 1,000/= kwa siku ili waweze kutumia SeaTax.
Waangalie hili linaweza kuathiri mambo kadhaa au lengo lililopo lisiafikiwe, watu wakaendelea kubanana kule kule kwa Tsh 200.
Labda miaka 20 ijayoNashangaa kwann serikali haitaki kujenga daraja eneo hilo ingali ni umbali mfupi sana...Sijui kuna kikwazo gani pale...Au kwakua meli kubwa hupita pale, lakini sidhani kama hakuna means ya kutatua hilo.
Jamaa ana hoja ingawa haipo clear, ni kwamba Govt ilikuwa na uwezo wa kufanya tax exemption au kutoa ruzuku kidogo ili angala tofauti isiwe kubwa walau TZS 300 kwa vivuko hvyUkitaka kizuri basi uwe tayari kugharamia. Kwani cha 200 kimefutwa? Si bado kipo? Ukiona huwezi kulipa 500 nenda kwenye 200.
Mtu kaingia gharama kuweka vivuko bora zaidi ya serikali halafu bado unataka aweke bei sawa na ya serikali?
Kuna anaekula ubwaba na nyama kwa buku jero na kuna anekula ubwabwa huo huo kwa elfu kumi na tano. Ni swala la kipato na maamuzi.
kwani mkuu toka kigamboni hadi magogoni kuna umbali wa urefu wa KM au mita ngapi hata mm naona daraja muhimu sana au umbali utakuwa umezidi lile daraja la tanzanite kigamboni.!Nashangaa kwann serikali haitaki kujenga daraja eneo hilo ingali ni umbali mfupi sana...Sijui kuna kikwazo gani pale...Au kwakua meli kubwa hupita pale, lakini sidhani kama hakuna means ya kutatua hilo.