Wito Kwa Serikali na DPP: Kesi Ya Ugaidi Dhidi Ya Freeman Mbowe Na Wenzake Irushwe LIVE Kupitia Channel Maalum Ya Online TV

Hii issue ya kesi ya Freeman Mbowe tushaandika thread ya kuomba irushwe LIVE katika channel maalum, hata kabla kesi haijaanza.

Ila serikali ikaweka nta kwenye masikio yao, sasa hata raia wanazuiwa kuingia mahakamani kusikiliza na kama wakati mwingine kama jana walinyang'anywa sim zao.
 

Huyu mwamba:



si wakelele moja.

Hata Hamza angalikuwa kasema nao tu, kama wangekuwa wa kusikia.
 
Kwani wewe na machadema wenzako mkitoa pesa kwa TV zirushe kuna tatizo? Unataka nani akulipie gharama Ili Wewe uone?
 
Kweli ndoto hazina limits

Unaweza hata kuota uko mbinguni

Endelea kuota
 
Mtu Katoa pointi uchadema umetokea wapi tatizo njaa zenu zimefanya akili imeamia matakoni,,ndio mama Trump aliwaita shit hole
Wewe ukiyeshiba mbona kutwa kupiga miayo na kurushiwa risasi mpaka mnabaki kulialia mitandaoni kuchangisha watu.
 
Kwani wewe na machadema wenzako mkitoa pesa kwa TV zirushe kuna tatizo? Unataka nani akulipie gharama Ili Wewe uone?

Wapi kumeombwa mtu wa kulipia gharama? Hujui ambao wangependa kurusha hata kwa kuilipa serikali ni wengi tu.

Kumbe humjui anayezuwia hata kurusha SMS tu?

Hiiiiii bagosha!
 
Naunga mkono hoja. Napendekeza NGO za wapigaji kama LHRC' WATETEZI walipie gharama za kurusha live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…