Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.

Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!

Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Wiki sita ni muda mzuri sana, hapo hakuna kichwa kitakachousahau unyama tuliofanyiwa watanganyika na Samia, baada ya hapo naamini, kuna hatua nyingine zitafuata, kama sio za kimwili, basi zitakuwa za kiroho.

Mimi kwa upande wangu nimeshaanza kuziona dalili za mtu aliyekata tamaa, aliyepoteza mwelekeo, anayelazimisha kwenda na njia zake tofauti na wale anaowaongoza, ndio naendelea kumtazama huyo mjinga niuone mwisho wa safari yake utakuwa vipi.
 
Na katiba ya nchi iwe inasomwa pamoja kuonyesha uzalendo zaidi, ila kuhamisha siasa ndani ya kanisa litawakosti sana RC achana na dola.
 
Tangazo si mmeliona la muwekezaji berth 8 hadi 11 haya mpeleke watu sasa au muende wenyewe mkawekeze muache stori mfanye kwa vitendo yale makelele yote .
 
Na katiba ya nchi iwe inasomwa pamoja kuonyesha uzalendo zaidi, ila kuhamisha siasa ndani ya kanisa litawakosti sana RC achana na dola.
Rc imekuwepo kwa zaidi ya miaka 600 likiwa limeimarika kikamilifu ulimwenguni kote,,,,taifa letu Lina miaka 60 tu ya kujitawala tena bado kunahitaji wahisani ili kujiendesha,,,,,

Kifupi taifa Ni changa kuliko Rc
 
Hiyo RC unao ongelea haiku Tz we jidanganye bure neenda nchi jirani Rwanda, Uganda, kenya uona kama RC anaweza kupewa hata uraisi, nyie mna mob saikoloje inawasumbua, achana na dola.
 
M

Museven unajua dhehebu lake au unajiandikia tu, paul kagame unajua dhehebu lake.
 
M7 sio RC na anapambana nao vibaya majuzi alimlisha sumu kadinari wa RC Kizito Lwanga kazikwa, PK ni mprotestant na Kenya haija wahi kutawaliwa na RC na hatakuja kutawala kenya kwao wanaona bora watawaliwe na Dini nyingine ila sio RC, DRC ndo inaongozwa na kua na wafuasi wengi wa RC, lakini Pres Kabila hakua RC........hao watu hawsjui utawala kabisa na wadini sanaa.
 
Wiki sita ni muda mzuri sana, hapo hakuna kichwa kitakachousahau unyama tuliofanyiwa watanganyika na Samia, baada ya hapo naamini, kuna hatua nyingine zitafuata, kama sio za kimwili, basi zitakuwa za kiroho.

Mimi kwa upande wangu nimeshaanza kuziona dalili za mtu aliyekata tamaa, aliyepoteza mwelekeo, anayelazimisha kwenda na njia zake tofauti na wale anaowaongoza, ndio naendelea kumtazama huyo mjinga niuone mwisho wa safari yake utakuwa vipi.
Hakika
 
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.

Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!

Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Huu waraka kusomwa kila Dominika kwa weny akili wanajua itakavyoleta impact kuelekea 2025. Mwanadam akishaambiwa jambo sio zuri tena kiiman kweny nyumba za ibada humuingia vzr moyon na kuchukia hilo jambo!! NB: Kwa wenye akili tu ndio wataelewa athari yake!!
 
M7 sio RC na anapambana nao vibaya majuzi alimlisha sumu kadinari wa RC Kizito Lwanga kazikwa, PK ni mprotestant na Kenya haija wahi kutawaliwa na RC na hatakuja kutawala kenya kwao wanaona bora watawaliwe na Dini nyingine ila sio RC, DRC ndo inaongozwa na kua na wafuasi wengi wa RC, lakini Pres Kabila hakua RC........hao watu hawsjui utawala kabisa na wadini sanaa.
Uvccm usie na akili katika ubora wako!!
 
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.

Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!

Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
No ujumbe umeshafika. Tofauti na hapo itakuwa siasa na kushusha hadhi ya kanisa moja takatifu la mitume
 
Wimbi la kurudisha kadi litaongezeka sana, Wacha waraka uendelee kusomwa.
 
na Kenya haija wahi kutawaliwa na RC na hatakuja kutawala kenya kwao wanaona bora watawaliwe na Dini nyingine ila sio RC, DRC ndo inaongozwa na kua na wafuasi wengi wa RC, lakini Pres Kabila hakua RC........hao watu hawsjui utawala kabisa na wadini sanaa.
Mwai Kibaki alikuwa muumini wa RC church
Weka record zako sawa
 
Back
Top Bottom