Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

Watanzania wana akili na maarifa ya kutosha

jitihada za kuwachochea zimeshafanyika na zinaendelea kufanyika sana ila watabaki wamoja siku zote

unaweza kutumia ushawishi wako wa kiimani au wa vyovyote ukaona mama vile wamekukubali kumbe akili kumkichwa
Sawa, ila jibu hoja sasa..
 
Watanzania wana akili na maarifa ya kutosha

jitihada za kuwachochea zimeshafanyika na zinaendelea kufanyika sana ila watabaki wamoja siku zote

unaweza kutumia ushawishi wako wa kiimani au wa vyovyote ukaona mama vile wamekukubali kumbe akili kumkichwa
Tafuteni mgombea mwingine 2025,

Huyu hauziki, tafiti zote zinaonyesha.
 
Tafuteni mgombea mwingine 2025,

Huyu hauziki, tafiti zote zinaonyesha.
nakukumbusha tu, tafiti za hao hao zilionesha Slaa ana 73% na Jakaya ana 26% na wengine wakagawana zilizobaki kwny uchaguzi wa 2010

nyie endeleeni kufanya tafiti tukutane 2025 inshallah na kama kawaida naanza kuwaandalia hotuba ya kupinga matokeo kwa hoja zile zile za tangu 1995
 
nakukumbusha tu, tafiti za hao hao zilionesha Slaa ana 73% na Jakaya ana 26% na wengine wakagawana zilizobaki

nyie endeleeni kufanya tafiti tukutane 2025 inshallah na kama kawaida naanza kuwaandalia hotuba ya kupinga matokeo kwa hoja zile zile za tangu 1995
Mkataba FAKE mjadala haujaisha, Dola hamna, hapo hapo petrol hamna inflation juu,

Nani atakuwa na hamu na chama chakavu?

Pia ujue sisi tunaopinga ni ccmmm pia Kwa asili, Sema tumegoma kukaa upande wa dhulma!!
 
Wewe endelea na research zako, tukutane 2025, kwani research gani zilizoandaliwa na hao Jamaa ziliwahi kusema Ccm inakubalika?

Kuchi hatishiwi utitiri

ikifika 2025 Wewe nenda Wanging'ombe, Kazuramimba, Ludewa, n.k kawaoneshe vipengele vya Mkataba wa DP World sijui Katiba mpya wenzio wanaonesha madarasa, visima vya maji, shule, barabara n.k
 
Wewe endelea na research zako, tukutane 2025, kwani research gani zilizoandaliwa na hao Jamaa ziliwahi kusema Ccm inakubalika?

Kuchi hatishiwi utitiri

ikifika 2025 Wewe nenda Wanging'ombe, Kazuramimba, Ludewa, n.k kawaoneshe vipengele vya Mkataba wa DP World wenzio wanaonesha madarasa, visima vya maji, shule, barabara n.k
Sisi tutawakumbusha wananchi kuwa,

1.5 trillion ilikopwa kujenga vyoo, wakati huo huo ilikuwapo pesa ya tozo tuliotozwa.

Ndo haijulikani pesa ya tozo mlioahidi kujengea madarasa ilienda wapi.
 
Nyie kaonesheni Takwimu, sir tutaonesha madarasa
 
Posho za walimu muda wa ziada zitaanzia lini?

Maana wanafunzi wanakaa chini, wanafunzi 150 na ushee wafundishwe na mwl mmoja,

Madarasa, bila Elimu ni kupoteza muda.

Kubalini mmeshindwa mkae pembeni.
 
Kazi ya Ccm ni kujenga darasa, kazi yenu ni kuonesha mapungufu ya darasa hilo lililojengwa

ndio mgawanyo wa majukumu na ndio sababu mnalipwa ruzuku kufanya hivyo
 
Asee,

Kuna mkt wa Kijiji huko Lushoto wakati anajiuzuru na kurudisha card ya CCCm,

Ameulizwa kati ya CCCm na ANDAZI anachagua nn?

Amechagua ANDAZI!!
 
Bora Andazi, maana angalau linauwezo wa kujibu hoja ya njaa
 
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.

Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!

Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Usomwe hata hadi 2030 Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan atakapostaafu haitabadili kitu.

Uwekezaji bandarini upo pale pale haiwezekani kuendelea kuyachekea mafisadi yakiwemo maTEC yaliyozoea kupitisha magendo na dili zao.
 
Asee,

Kuna mkt wa Kijiji huko Lushoto wakati anajiuzuru na kurudisha card ya CCCm,

Ameulizwa kati ya CCCm na ANDAZI anachagua nn?

Amechagua ANDAZI!!
Hiyo fursa ya kuchagua kati ya andazi na Ccm unaipata kukiwa na amani ambayo imewezesha kupatikana ngano, Mafuta, mpishi n.k

Niger, Sudan, Congo n.k hawana hiyo fursa ya kuchagua chakula.… wao huambiwa 'chagua tukulawiti Wewe au tumnajisi Mama yako hadharani? wanatamani mtelezo wa kuchagua misosi mizuri mizuri kama hapa nchini

ukiona Mwenyekiti wa kijiji anaweza kusema hivyo hadharani inabidi tuipongeze Serikali ya Madam Samia Suluhu Hassan kwa kulea Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni bila ya hofu

kidumu Chama cha Mapinduzi
 
CCCm ni chama tu kama Tadea au Cuf,

Kutokuwepo CCCm madarakani hakutaathiri Amani hata kdg.

Karatu pale CCCm imewahi kuwa chama Cha upinzani bila hata diwani na Amani iliendelea kuwepo.
 
Hamna hoja za kujibu
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.

Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!

Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

The gospel according to TEC

Injili Kama ilivyoandikwa na TEC
 
Tufanye RC wote wameelewa waraka wenu, unadhani wataenda chama gani ambacho katoliki itapata tena ushawishi kama ilivyojikita CCM
Hawawezi kwenda cdm maana kule ni Lutheran na juzi yule mchungaji alimsifia sana huyo kubwengo na kuahidi kuendelea kukaa kimya
 
Back
Top Bottom