Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

Rc imekuwepo kwa zaidi ya miaka 600 likiwa limeimarika kikamilifu ulimwenguni kote,,,,taifa letu Lina miaka 60 tu ya kujitawala tena bado kunahitaji wahisani ili kujiendesha,,,,,

Kifupi taifa Ni changa kuliko Rc
RC iko tangu 33 AD yaani ni dhehebu lina miaka takriban 2000 siyo miaka 600
 
Keep this thread hadi 2025 mkuu

Maana hujaona kabisa kwamba tables have turned
 
wausome everyday hadi wanaojifanya hawasikii wasikie. na cha muhimu zaidi ili kuwafanya wananchi wasiichague tena ccm inayouza bandari yao.
 
wausome everyday hadi wanaojifanya hawasikii wasikie. na cha muhimu zaidi ili kuwafanya wananchi wasiichague tena ccm inayouza bandari yao.
Kabisa, as many times as possible, as often as possible
 
Wimbi la kurudisha kadi litaongezeka sana, Wacha waraka uendelee kusomwa.
Tukubaliane mapema ili Kanisa likishindwa tujue na likishinda tujue

mwanzo tuliambiwa Waraka wa kupinga uwekezaji ukitolewa basi Serikali lazima ifyate na ijitoe kwny makubalino lakini sasa tunaskia na Gati zilizobaki nazo zimetangazwa tenda kutafuta u
muekezaji

sasa pia mtuambie kama mnapambana na Serikali katika uchaguzi ujao kupitia kile Chama chenu ili matokeo ya uchaguzi yakitoka tukitoa pole tujue na nyie mtahusika au mtajitenga nao?
 
Someni mpk 2030 anapotoka madarakani
 
Wiki 6 haziwatoshi nyie mana mna vichwa vigumu sana. Inatakiwa msomewe ma kukaririshwa huo waraka wenu mpk 2030 labda....
 
Hiyo RC unao ongelea haiku Tz we jidanganye bure neenda nchi jirani Rwanda, Uganda, kenya uona kama RC anaweza kupewa hata uraisi, nyie mna mob saikoloje inawasumbua, achana na dola.
Huku TZ kanisa lilibebwa sana na serikali ya Nyenyere mpk sasa wanampa utukufu
 
Tufanye RC wote wameelewa waraka wenu, unadhani wataenda chama gani ambacho katoliki itapata tena ushawishi kama ilivyojikita CCM
 
wausome everyday hadi wanaojifanya hawasikii wasikie. na cha muhimu zaidi ili kuwafanya wananchi wasiichague tena ccm inayouza bandari yao.
Wakatoliki wote msiipe kura CCM, lkn nakuhakikishia kwa kwa katiba hii mnajichosha tu
 
Hawatokujibu...
 
Tufanye RC wote wameelewa waraka wenu, unadhani wataenda chama gani ambacho katoliki itapata tena ushawishi kama ilivyojikita CCM
Kanisa halihitaji ushawishi hata kdg, pia wakubwa zako ndio wanajua RC ni nan na wananguv gan!! Wew kabwela hakuna ujuacho!!
 
KANISA huwezi litenga na siasa,

Wakiwa Kanisani ni waumini, wakiwa ktk mabus ni wasafiri, wakiwa kazini ni wafanyakazi, wakiwa ziwani ni wavuvi, wakiwa hospitali ni wagonjwa, wakiwa jukwaani ni wanasiasa. Wakiwa shambani ni wakulima, nk nk

We are one people, Tanzanians.
 
Wala usijihangaishe kujibizana na hao maroboti wa kulipwa, utajichosha bure
 
Watanzania wana akili na maarifa ya kutosha

jitihada za kuwachochea zimeshafanyika na zinaendelea kufanyika sana ila watabaki wamoja siku zote

unaweza kutumia ushawishi wako wa kiimani au wa vyovyote ukaona mama vile wamekukubali kumbe akili kumkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…