FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Sawa, ila jibu hoja sasa..Watanzania wana akili na maarifa ya kutosha
jitihada za kuwachochea zimeshafanyika na zinaendelea kufanyika sana ila watabaki wamoja siku zote
unaweza kutumia ushawishi wako wa kiimani au wa vyovyote ukaona mama vile wamekukubali kumbe akili kumkichwa
Tafuteni mgombea mwingine 2025,Watanzania wana akili na maarifa ya kutosha
jitihada za kuwachochea zimeshafanyika na zinaendelea kufanyika sana ila watabaki wamoja siku zote
unaweza kutumia ushawishi wako wa kiimani au wa vyovyote ukaona mama vile wamekukubali kumbe akili kumkichwa
nakukumbusha tu, tafiti za hao hao zilionesha Slaa ana 73% na Jakaya ana 26% na wengine wakagawana zilizobaki kwny uchaguzi wa 2010Tafuteni mgombea mwingine 2025,
Huyu hauziki, tafiti zote zinaonyesha.
Mkataba FAKE mjadala haujaisha, Dola hamna, hapo hapo petrol hamna inflation juu,nakukumbusha tu, tafiti za hao hao zilionesha Slaa ana 73% na Jakaya ana 26% na wengine wakagawana zilizobaki
nyie endeleeni kufanya tafiti tukutane 2025 inshallah na kama kawaida naanza kuwaandalia hotuba ya kupinga matokeo kwa hoja zile zile za tangu 1995
Wewe endelea na research zako, tukutane 2025, kwani research gani zilizoandaliwa na hao Jamaa ziliwahi kusema Ccm inakubalika?Mkataba FAKE mjadala haujaisha, Dola hamna, hapo hapo petrol hamna inflation juu,
Nani atakuwa na hamu na chama chakavu?
Pia ujue sisi tunaopinga ni ccmmm pia Kwa asili, Sema tumegoma kukaa upande wa dhulma!!
Sisi tutawakumbusha wananchi kuwa,Wewe endelea na research zako, tukutane 2025, kwani research gani zilizoandaliwa na hao Jamaa ziliwahi kusema Ccm inakubalika?
Kuchi hatishiwi utitiri
ikifika 2025 Wewe nenda Wanging'ombe, Kazuramimba, Ludewa, n.k kawaoneshe vipengele vya Mkataba wa DP World wenzio wanaonesha madarasa, visima vya maji, shule, barabara n.k
Nyie kaonesheni Takwimu, sir tutaonesha madarasaSisi tutawakumbusha wananchi kuwa,
1.5 trillion ilikopwa kujenga vyoo, wakati huo huo ilikuwapo pesa ya tozo tuliotozwa.
Ndo haijulikani pesa ya tozo mlioahidi kujengea madarasa ilienda wapi.
Posho za walimu muda wa ziada zitaanzia lini?Nyie kaonesheni Takwimu, sir tutaonesha madarasa
Kazi ya Ccm ni kujenga darasa, kazi yenu ni kuonesha mapungufu ya darasa hilo lililojengwaPosho za walimu muda wa ziada zitaanzia lini?
Maana wanafunzi wanakaa chini, wanafunzi 150 na ushee wafundishwe na mwl mmoja,
Madarasa, bila Elimu ni kupoteza muda.
Kubalini mmeshindwa mkae pembeni.
Asee,Kazi ya Ccm ni kujenga darasa, kazi yenu ni kuonesha mapungufu ya darasa hilo lililojengwa
ndio mgawanyo wa majukumu na ndio sababu mnalipwa ruzuku kufanya hivyo
Bora Andazi, maana angalau linauwezo wa kujibu hoja ya njaaAsee,
Kuna mkt wa Kijiji huko Lushoto wakati anajiuzuru na kurudisha card ya CCCm,
Ameulizwa kati ya CCCm na ANDAZI anachagua nn?
Amechagua ANDAZI!!
Usomwe hata hadi 2030 Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan atakapostaafu haitabadili kitu.Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.
Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!
Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!
Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...www.jamiiforums.com
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hiyo fursa ya kuchagua kati ya andazi na Ccm unaipata kukiwa na amani ambayo imewezesha kupatikana ngano, Mafuta, mpishi n.kAsee,
Kuna mkt wa Kijiji huko Lushoto wakati anajiuzuru na kurudisha card ya CCCm,
Ameulizwa kati ya CCCm na ANDAZI anachagua nn?
Amechagua ANDAZI!!
Sawa, ila jibuni hoja sasaWangesoma hadi 2030 wakati samia anamaliza kipindi chake ingekuwa poa.
Hamna hoja za kujibuSawa, ila jibuni hoja sasa
CCCm ni chama tu kama Tadea au Cuf,Hiyo fursa ya kuchagua kati ya andazi na Ccm unaipata kukiwa na amani ambayo imewezesha kupatikana ngano, Mafuta, mpishi n.k
Niger, Sudan, Congo n.k hawana hiyo fursa ya kuchagua chakula.… wao huambiwa 'chagua tukulawiti Wewe au tumnajisi Mama yako hadharani? wanatamani mtelezo wa kuchagua misosi mizuri mizuri kama hapa nchini
ukiona Mwenyekiti wa kijiji anaweza kusema hivyo hadharani inabidi tuipongeze Serikali ya Madam Samia Suluhu Hassan kwa kulea Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni bila ya hofu
kidumu Chama cha Mapinduzi
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapaHamna hoja za kujibu
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.
Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda maliasili ya mwaka 2017 lilikuwa ni lipi? Ile sheria ina ubaya gani?!
Hivyo basi, natoa wito huu waraka uwe kama sala tu, na tuuzoee kuusali hadi October 2025, baada ya hapo tunamuachia Mungu..., usomwe non- stop!
Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...www.jamiiforums.com
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hawawezi kwenda cdm maana kule ni Lutheran na juzi yule mchungaji alimsifia sana huyo kubwengo na kuahidi kuendelea kukaa kimyaTufanye RC wote wameelewa waraka wenu, unadhani wataenda chama gani ambacho katoliki itapata tena ushawishi kama ilivyojikita CCM