Wito kwa vijana wasomi msiache vilaza wa darasani wakawa ndio watengeneza agenda za taifa

Wito kwa vijana wasomi msiache vilaza wa darasani wakawa ndio watengeneza agenda za taifa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Inaonekana na inataka kuzoeleka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio.

Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na sasa wanataka kututengenezea muelekeo wa Taifa la vilaza..
 
Inaonekana na inataka kuzoekeka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio.

Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na sasa wanataka kututengenezea muelekeo wa Taifa la vilaza..
kila la kheri
 
Hadi spika huyu kanjanja tulia amewahi kukemea tabia ya jamaa anajiita msukuma kupamba propaganda ya walioshia la7 kuwa ndoo bora UKWELI WASOMI WENG HAWAPENDI SHOW OFF ila VILAZA hawana cha kupoteza
 
Unataka kusema watunga sera wa sasa ni vilaza ? Funguka zaidi ndugu Mtanzania
wapo wachangiaji mitandaoni kama twitter,facebook na tiktok ni kama vile wanataka kuliteka jamvi la wenye akili sasa ni muda wa kuwakabili
 
Hadi spika huyu kanjanja tulia amewahi kukemea tabia ya jamaa anajiita msukuma kupamba propaganda ya walioshia la7 kuwa ndoo bora UKWELI WASOMI WENG HAWAPENDI SHOW OFF ila VILAZA hawana cha kupoteza
nakubaliana naye maana tunaweza kupoteza Taifa.
Kilaza abakie na kuheshimiwa kwa ukilaza wake ila wenye akili wasijitie unyonge
 
Tukianza na top...tunaongozwa na kilaza anayeona kutumia mabavu ndio karata yakr ya mwisho kwenye kuongoza!!!
 
Mfano Steve Nyenyere na Jesca Magufuli
 
Unataka kusema watunga sera wa sasa ni vilaza ? Funguka zaidi ndugu Mtanzania
kuna fursa zinaendelea kutolewa na Serikali kama tusipokuwa makini vilaza ndio watazichukua
 
Back
Top Bottom