kila la kheriInaonekana na inataka kuzoekeka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio.
Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na sasa wanataka kututengenezea muelekeo wa Taifa la vilaza..
nakubaliana naye maana tunaweza kupoteza Taifa.Hadi spika huyu kanjanja tulia amewahi kukemea tabia ya jamaa anajiita msukuma kupamba propaganda ya walioshia la7 kuwa ndoo bora UKWELI WASOMI WENG HAWAPENDI SHOW OFF ila VILAZA hawana cha kupoteza
John Heche alikuwa mmoja wa VILAZA HATARI KABISA kwenye darasa letu la EDUCHE SAUT 2006/2009! Fr. Kitima analijua hilo!Unataka kusema watunga sera wa sasa ni vilaza ? Funguka zaidi ndugu Mtanzania
Role model ni raia namba moja. Kilaza promaxJohn Heche alikuwa mmoja wa VILAZA HATARI KABISA kwenye darasa letu la EDUCHE SAUT 2006/2009! Fr. Kitima analijua hilo!
HecheRole model ni raia namba moja. Kilaza promax