Wito kwa vijana wote na wazee wanaojitambua juu ya kuipata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

N

Ndo maana sijasema wanasiasa japokuwa naona ni wadau wakubwa lakini jambo la msingi ni kuwa kijana ndiye nguzo ya mabadiliko kamwe tusitegemee wazee kwa hili tushikamane haswaa!
Sisi tutapiga kelele lakini kwenda kwenye mchakato watateuana wao na hili ndo tatizo kubwa
 

Namba 2&8 fafanua, Habari ya Mungu ni imani ya mmoja mmoja kuna wasioamini na wanatambika hawa nao haki yao itapatikanaje?
 
Ndugu yangu.kudai katiba mpya yenye tume huru sio rahisi kuipata.Ili kipata tume huru inatubidi tuwe na roho ngumu.tukubali kujitoa mhanga tusiogope mateso.tusiogope kufa.Ina bidi viongozi wote waupinzani wasio wanafki pamoha na wananchi wanaojitambua tuwe mstari wa mbele kujitoa muhanga.HAKI HAIJI KIRAHISI,haki inapiganiwa.Wakati mwingine inabidi kumwagike damu ili haki ipatikane.
 
ALIPODAI KATIBA MPYA SIO KIPAUMBELE CHAKE NINGEKUA KARIBU YAKE NINGEMTANDIKA NGUMI SHENZY KABISA. HAIWEZEKANI NCHI AIFANYE NI YA BIBI YAKE.
 
Katiba mpya sio kitu cha kusubilia kama mvua...lazm tupige sauti nchi nzima....tujipange kwa makongamano na mijadala ya kijamii...kuelimisha jamii kwanini katiba mpya...na pia uelewa wa watu wengi juu ya katiba utasaidia kupata katiba mpya yenye maoni ya wananchi.....napita......
 
Ni kweli mshikamano kwa vijana ndo itakuwa chachu ya mabadiliko na kamwe tusitegemee muujiza wa kupata katiba mpya na tume huru ya uchagu pasipo kuwepo watu wa kujitoa muhanga kwa hili. Si masihala kuwa tunataka hivyo vitu na kama ni kuuliwa kama wale waliotupwa MTO ruvu basi waandae wauaji na Nina uhakika wanao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…