Pre GE2025 Wito kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama: Msiogope, simameni na Wananchi, CCM wanatupeleka pabaya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Si umeshajibu swali hapao. Ukitaka kuangusha nchi usifuate hao wa juu, hapo huwa kwenye Party ya Nyama choma na miradi yao kila siku, huoni hata walivyonenepeana? Angalia wa Chini ndiyo utajua nini kinawezekana. Hao ndiyo wanajua funguo zipo wapi. Hwana MOTIVATION tu.
Huo ni uasi.

Wananchi watimize wajibu wao,

Nguvu ya umma ikitumika, askari hawezi kuzuia chochote.

Tuache uoga.
 
Tunaacha uoga kwa kuanza kuwaelemisha watu wa vyombo vya ulinzi na usalama kusimama na Wananchi kwa faida ya Taifa letu.
 
Polisi anafundishwa kushika silaha na kutii amri ya aliye juu yake basi.

Hata CHADEMA ikiongoza Serikali,watafanya hivyo hivyo,

Sisi tutimize wajibu wetu, tudai HAKI zetu bila woga,

Vitendo vyetu na u serious wetu, ndio utaipa vyombo upi upande sahihi kusimamia.

Lakini tukiendeleza uoga, ukiona bomu la machozi na maji ya kuwasha unaingia uvunguni,

Tutaendelea kuburuzwa watakavyo,

Na vice versa is true.
 
Ni ujuha kusema hata Chadema watafanya hivyo hivyo kwa sababu Chadema hawajawahi kuongoza hii nchi.

Pia kinachopuganiwa na Wananchi ni Katiba Mpya inayoweka misingi ya haki na utawala bora ili kuwe na ustawi na maendeleo wananchi wote.

Katiba Mpya itahakikisha tunatawaliwa vizuri hata kiongozi akiwa mtu asiye na chama.
 
Huu uoga wetu ndio umesababisha wale vijana wa UV, wanavaa Buti kama askari na Kuteka WAPINZANI huku tukiamini Kila mtekaji ni askari kumbe wengine ni green g!!
 
Ni ujuha kusema hata Chadema watafanya hivyo hivyo kwa sababu Chadema hawajawahi kuongoza hii nchi.

Pia kinachopuganiwa na Wananchi ni Katiba Mpya inayoweka misingi ya haki na utawala bora ili kuwe na ustawi na maendeleo wananchi wote.

Katiba Mpya itahakikisha tunatawaliwa vizuri hata kiongozi akiwa mtu asiye na chama.
Sasa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi itakuja kwenye sahani bila kuchezea virungu vya hao vyombo?
 
Nyie ndo walinzi wa taifa hili. Sio CCM

Nafahamu mnaona kwa namna gani CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya.

Nafahamu mnajua namna ya Viongozi wa CCM wanavyolifisadi hili Taifa kwa wizi wa kutisha na matumizi mabaya ya kodi za wananchi huku wakitaka watukuzwe at the expense ya kodi za wananchi.

Najua mnaona wanavyoiba fedha za wananchi kupitia tenda za miradi mbalimbali huku miradi yenyewe ikijengwa chini ya kiwango.

Najua mnaona wanavyoongeza gharama za miradi inayotumia fedha za wananchi ili waibe hela kwa faida zao na kugharamia wizi wa uchaguzi. Mfano overpricing ya viwanja vya michezo vinavyoendelea kujengwa huko Dodoma, Arusha na hapa Dar es Salaam.

Nafahamu mnajua namna taifa hili lilivyofikia kwenye hatari ya kuwa failed state kutokana na kikundi cha watu wachache hasa CCM kujimilisha Taifa hili. Wanateuana watu wasio na uwezo kwa sababu tu ya kujuana na uchawa.

Najua mnafahamu chaguzi za Taifa hili sio chaguzi kama chaguzi ila ni maigizo yanayofanyika ili kuwahadaa wananchi. Viongozi wanaopatikana kupitia chaguzi hizo sio Viongozi waliochaguliwa kweli na wananchi na uthibitisho ni Maneno ya makada na Viongozi wa CCM wenyewe. Rejeeni Hotuba ya Nape kuhusu wanavyoshinda uchaguzi alipokuwa Kagera na ile hotuba ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido walivyoelezea kuikweli namna CCM wanavyonajisi chaguzi za nchi hii kupitia Tume hii ya Uchaguzi ambayo ni vibaraka wa CCM.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nafahamu mnaona namna uchawa unavyoliangamiza taifa na kodi za wananchi zinavyotumika kutengeneza watu wajinga wanaoitwa machawa kuwarubuni Watanzania.

Najua mnafahamu kuwa haya yote yanafanywa na CCM kwa sababu moja tu. Nchi hii ina Katiba mbovu inayowawezesha kufanikisha markings yote haya bila kufanywa chochote na wala kuhojiwa na yeyote.

Najua mnajua kuwa leo hii mkiamua kusimama na Wananchi, Taifa letu litafanikiwa kupata Katiba Bora ambayo itaweka mifumo imara na kuondoa uwekezano wa nchi yetu kufikia hapa tulipofikia kuelekea kuwa failed state.

Najua mnafahamu kuwa kiukweli CCM si chochote si lolote bila nyie. Na kiburi chao ni kwa sababu tu mmefumbia macho ujinga wao.

Ombi langu kwenu,
Sasa simameni na Wananchi. Msiruhusu CCM waibe uchaguzi, mairuhusu CCM waendeleze udhalimu wao maana udhalimu wao unaenda kuliangamiza hili taifa.

Nyie ndo walinzi wa hili Taifa na CCM wakikaa kando haitawaathili wala kuwapunguzia chochote ila italihakikishia hili Taifa uimara na mafanikio ya uhakika kwa wananchi wake kwa miaka mingi ijayo.

Nawaomba tena. Simameni na Wananchi na kataeni kutumiwa na CCM.
Hoja yako ni nzuri sana na inapendeza sana ifanyiwe kazi.

Bahati mbaya unaowaambia watekeleze hawana hata chembe ya kuwafanya chochote Ccm.

Ccm kwasasa ni zimwi ambalo linaogopwa na vyombo vyote vya dola sijui zimwi hili linawatishia nini bila shaka ni ukwasi walionao viongozi au waliowahi kuwa viongozi wa taifa hili kupitia Ccm.
 
Acha kuwadharau vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.

CCM ni wajinga wanaoishi kwa propaganda, uongo na vitisho visivyo maana.

Wana kipi cha kuvifanya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikisema hapana juu ya udhalimu wao kwa mfano?
 
Huo ni uasi.

Wananchi watimize wajibu wao,

Nguvu ya umma ikitumika, askari hawezi kuzuia chochote.

Tuache uoga.
Unachanganya vyote. "Tit for Tat is essential". Lissu anafanya kampeni kisiasa, wengine wanafanya lobbying kwa Polisi na wanajeshi hasa wale Mddle ranks na wale wa china maana hawa taabu zao ni kama zako tu. Wanatumwa na wale wenye matumbo makubwa. Halafu ujue wale wote wa vyeo vya juu hata kukimbia hawawezi. Usawahi kuongea nao? Wasogelee uwaone.

Wapinzani wanahitaji vyote, pamoja na "soft power" lobbying; siyo uhaini.
 
JWTZ kuweni marefa, wakatazeni mapolice na hao wanaojiita usalama wa taifa kuteka na kuua watu kisa kuwadhibiti kwa vitisho wananchi ambao wanadai mabadiliko haya ambayo ni haki yao ya kikatiba.
Huu mziki waachieni Wananchi vs CCM waucheze - yaani dakika ya 60 tu CCM itakuwa ulimi nje.
 
JWTZ wenyewe ni makada tupu
 
Vyombo vyenyewe vimejaa makada wa CCM tupu
Kuna wazalendo wa kweli wengi sana huko JWTZ, TISS na Polisi kuliko wachache wajinga wanaorubuniwa na CCM. Waelimishwe tu nguvu waliyonayo ili waisaidie nchi kupaya mabadiliko ya kweli
 
Hakuna lolote wote wanaota uteuzi, wazalendo hawafiki 10
 
Nyie ndo walinzi wa taifa hili. Sio CCM

Nafahamu mnaona kwa namna gani CCM wanalipeleka Taifa hili pabaya.

Nafahamu mnajua namna ya Viongozi wa CCM wanavyolifisadi hili Taifa kwa wizi wa kutisha na matumizi mabaya ya kodi za wananchi huku wakitaka watukuzwe at the expense ya kodi za wananchi.

Najua mnaona wanavyoiba fedha za wananchi kupitia tenda za miradi mbalimbali huku miradi yenyewe ikijengwa chini ya kiwango.

Najua mnaona wanavyoongeza gharama za miradi inayotumia fedha za wananchi ili waibe hela kwa faida zao na kugharamia wizi wa uchaguzi. Mfano overpricing ya viwanja vya michezo vinavyoendelea kujengwa huko Dodoma, Arusha na hapa Dar es Salaam.

Nafahamu mnajua namna taifa hili lilivyofikia kwenye hatari ya kuwa failed state kutokana na kikundi cha watu wachache hasa CCM kujimilisha Taifa hili. Wanateuana watu wasio na uwezo kwa sababu tu ya kujuana na uchawa.

Najua mnafahamu chaguzi za Taifa hili sio chaguzi kama chaguzi ila ni maigizo yanayofanyika ili kuwahadaa wananchi. Viongozi wanaopatikana kupitia chaguzi hizo sio Viongozi waliochaguliwa kweli na wananchi na uthibitisho ni Maneno ya makada na Viongozi wa CCM wenyewe. Rejeeni Hotuba ya Nape kuhusu wanavyoshinda uchaguzi alipokuwa Kagera na ile hotuba ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido walivyoelezea kuikweli namna CCM wanavyonajisi chaguzi za nchi hii kupitia Tume hii ya Uchaguzi ambayo ni vibaraka wa CCM.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nafahamu mnaona namna uchawa unavyoliangamiza taifa na kodi za wananchi zinavyotumika kutengeneza watu wajinga wanaoitwa machawa kuwarubuni Watanzania.

Najua mnafahamu kuwa haya yote yanafanywa na CCM kwa sababu moja tu. Nchi hii ina Katiba mbovu inayowawezesha kufanikisha markings yote haya bila kufanywa chochote na wala kuhojiwa na yeyote.

Najua mnajua kuwa leo hii mkiamua kusimama na Wananchi, Taifa letu litafanikiwa kupata Katiba Bora ambayo itaweka mifumo imara na kuondoa uwekezano wa nchi yetu kufikia hapa tulipofikia kuelekea kuwa failed state.

Najua mnafahamu kuwa kiukweli CCM si chochote si lolote bila nyie. Na kiburi chao ni kwa sababu tu mmefumbia macho ujinga wao.

Ombi langu kwenu,
Sasa simameni na Wananchi. Msiruhusu CCM waibe uchaguzi, mairuhusu CCM waendeleze udhalimu wao maana udhalimu wao unaenda kuliangamiza hili taifa.

Nyie ndo walinzi wa hili Taifa na CCM wakikaa kando haitawaathili wala kuwapunguzia chochote ila italihakikishia hili Taifa uimara na mafanikio ya uhakika kwa wananchi wake kwa miaka mingi ijayo.

Nawaomba tena. Simameni na Wananchi na kataeni kutumiwa na CCM.
Kwani hao vyombo vya Dola hawanufaiki? 🤣🤣🤣🤣

Una akili ndogo sana ya kufikiria.
 
Back
Top Bottom