Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #21
Uzuri wananchi sasaivi tumeshaelewa pumba ni zipi na mchele ni upi.Wameanza propaganda za kumkana
Saivi ni mwendo wa operesheni ondoa mafisadi CCM na Samia wao
Uzuri wananchi sasaivi tumeshaelewa pumba ni zipi na mchele ni upi.Wameanza propaganda za kumkana
Uone nini tena???
Kila kitu kimeshaonekana