Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Naunga mkono hoja.Maxence Melo
Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote.
Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na hata Kenya pia, katika kuhakikisha tunamwajibisha Samia, tusimuache aishi wala kusafiri kwa faraja kwenda kwenye hizi nchi ambazo zinaheshimu haki za binadamu na zina uhuru mkubwa wa watu wake kujieleza.
Tuhakikishe kuwa, endapo itatokea huyu mtu anasafiri kwenda kwenye moja ya hizo nchi, basi Watanzania wote wapenda haki na walioumizwa na mauaji aliyoyafanya Oktoba 29, tunampa wakati mgumu sana kwa kuandamana alipofikia, atapotembelea, na popote pale atapoonekana akiwa huko.
Mimi na watu wangu tumeshajiandaa kikamilifu kuandamana na kumpinga, kumzomea, na kumfanya mengine ambayo kwa sasa ni siri yetu.
Hatutanii. Ajichanganye aje pande hizi aone. Huku hatuwaogopi hao wanaomlinda. Wakileta za kuleta, tutawapatia wanachokitaka.
Haiwezekani na haikubaliki kabisa aue Watanzania wasio na hatia yoyote ile kisa tu aendelee kutawala.
Hivyo basi, Watanzania muishio kwenye nchi za magharibi, jipangeni kwa namna muwezavto kumkabili endapo ataleta pua yake sehemu ambazo mpo.
Na siyo lazima muwe kwenye vikundi. Hata mtu binafsi tu unaweza kupanga jinsi ya kumkabili endapo atakuja sehemu ambayo nawe upo.
Wana diaspora hatuna kabisa sababu ya kumuogopa huyo mtu.
Yeye yupo upande wa uovu na sisi wema upo upande wetu. Na daima siku zote wema huushinda uovu.
Tumwandame huyu mtu mpaka awajibike.
Shukran jazilan.Naunga mkono hoja.
Aje tu. Haogopwi mtu hapa.Halafu alivyo....atakuja kukoment hapa kwenye uzi wako
Kwa taarifa yako, hakuna kiwango cha ulinzi kinachoweza kuzuia asiguswe.Ila mkuu ana security yule naona ni ngumu labda tu mabango ila sio rahisi kufanya kitu kama shambulizi
🙏Naunga mkono Hoja
Mkuu siyo shambulizi bali ni mabango tu.Ila mkuu ana security yule naona ni ngumu labda tu mabango ila sio rahisi kufanya kitu kama shambuliz
Mabango, loud speaker, nyimbo, n.k.Mkuu siyo shambulizi bali ni mabango tu.
Ukiwa na akili timamu huwezi kumlaumu Rais Samia ......Maxence Melo
Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote.
Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na hata Kenya pia, katika kuhakikisha tunamwajibisha Samia, tusimuache aishi wala kusafiri kwa faraja kwenda kwenye hizi nchi ambazo zinaheshimu haki za binadamu na zina uhuru mkubwa wa watu wake kujieleza.
Tuhakikishe kuwa, endapo itatokea huyu mtu anasafiri kwenda kwenye moja ya hizo nchi, basi Watanzania wote wapenda haki na walioumizwa na mauaji aliyoyafanya Oktoba 29, tunampa wakati mgumu sana kwa kuandamana alipofikia, atapotembelea, na popote pale atapoonekana akiwa huko.
Mimi na watu wangu tumeshajiandaa kikamilifu kuandamana na kumpinga, kumzomea, na kumfanya mengine ambayo kwa sasa ni siri yetu.
Hatutanii. Ajichanganye aje pande hizi aone. Huku hatuwaogopi hao wanaomlinda. Wakileta za kuleta, tutawapatia wanachokitaka.
Haiwezekani na haikubaliki kabisa aue Watanzania wasio na hatia yoyote ile kisa tu aendelee kutawala.
Hivyo basi, Watanzania muishio kwenye nchi za magharibi, jipangeni kwa namna muwezavto kumkabili endapo ataleta pua yake sehemu ambazo mpo.
Na siyo lazima muwe kwenye vikundi. Hata mtu binafsi tu unaweza kupanga jinsi ya kumkabili endapo atakuja sehemu ambayo nawe upo.
Wana diaspora hatuna kabisa sababu ya kumuogopa huyo mtu.
Yeye yupo upande wa uovu na sisi wema upo upande wetu. Na daima siku zote wema huushinda uovu.
Tumwandame huyu mtu mpaka awajibike.
We ni jinga lililokata tamaaKwa taarifa yako, hakuna kiwango cha ulinzi kinachoweza kuzuia asiguswe.
Walishaguswa watu wenye ulinzi ulio bora maradufu na huo alionao.
Ila hapa hatujadili hayo, hapa tunajadili namna ya kudeal naye akija kwenye 18 zetu.