Wito kwa wana diaspora wote wapenda haki

Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kumlaumu Rais Samia ......
Yeye Sio tatizo isipokuwa ni matokeo tu ....
Zima hisia washa akili ....

Hakuna external force inaweza kukusaidia kusolve yako ya ndani .....
Acheni ujinga watanzania...
Period
Nani kaomba msaada wa nje?
 
Naunga mkono hoja , haramu ni haramu tu hata ikitiwa nakshi ya dhahabu.

Huyu nyang'au hana uhalali maana hakuchaguliwa na wananchi bali ile tume ya vidampa wake akina Mwambengele.
 
Ni kweli uongozi wa sasa unaudhi saaaana! Sasa hivi kwa mfano ufisadi umestawi sana, watu wanapiga hela na kiburi kimekuwa kikubwa kwa watendaji na viongozi wa serikali. Ni kama hakuna kiongozi nchi hii, ni hovyo, hakuna haki na wala mama huyu hajali chochote. Inaudhi.
 
nonsense 🐒
 
We jamaa akili yako ndogo sana wewe , Mange n.k

Ni kweli mabadiliko yanahitaji ila njooni ktk ground tuyapambanie kwa pamoja
 
We jamaa akili yako ndogo sana wewe , Mange n.k

Ni kweli mabadiliko yanahitaji ila njooni ktk ground tuyapambanie kwa pamoja
Kwa vipi? Wakati wakija Kwa pamoja watu wema kama kina lissu mnawatengenezea zengwe kuwatoa kwenye bunge na kuwauwa? Yani nyie njia za amani hamzitaki hii ni danganya toto...! Bunge la SAMWEL SITTA lilikuwa Bora sana kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu ila mkalihujumu na chaguzi fake kununua wapinzani Kwa fedha za umma na mkamalizia na kumpiga LISSU risasi kwahiyo nyie sio watu wa kuaminika Kwa hoja kama hii yako eti tuyapambanie mabadiliko Kwa pamoja shenzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…