Wito kwa Wana Yanga Wote: na Thadeo Ole Mushi

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.

Na Thadei Ole Mushi.

Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale yanga kufa na kupona kuiheshimisha club yetu.

Haji Manara, El-Buggat alikuja Yanga ikiwa ina GSM na ina kila kitu isipokuwa kitu kimoja tu Yanga ilikuwa haina Saikolojia nje ya uwanja na kujiamiani jambo ambalo limesababisha mwaka huu Yanga kunyanyua makombe matatu.

Manara anafanya kazi kubwa sana pale Yanga, anacheza game zote za nje ya uwanja, anaitangaza brand yetu vilivyo, anatufanya tujiamini, anapigana vita vyote nje ya uwanja sio sahihi yeye kwa sasa kushambuliwa na sisi kukaa kimya. Wanayanga wote wanapaswa sasa kuamka na kumsemea huyu mpambanaji wetu.

Yanga huko nyuma imefanyiwa hujma nyingi sana chini ya uongozi huu huu unaomtuhumu Haji kwa sasa, nani asiyejua kuwa Karia ni Simba na mpango wake ni kuidhoifisha Yanga? anajua ukimpiga Manara akatulia Mengi ya Hovyo na Hujuma Yanga itafanyiwa na hakuna wa kusema.

Issue ya Arusha ipo hivi.

Manara aliitwa na Mh John Mongela mkuu wa Mkoa wa Arusha jukwaa kuu. Manara alipokwenda Karia akaanza kumdhihaki na kumtolea maneno ya Kashfa. Kiuhalisia Karia alienda Arusha sio kama Rais wa TFF bali alikuwa amebeba agenda za COASTAL Union. Ndio maana hadharani kabisa alisema kuwa mmesawazisha ila mlikuwa na "Kinyesi kwenye chupi" maneno haya aliyasikia mkuu wa wilaya Arusha DC Mtanda na alisikia pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Karia hapendi mafanikio ya Yanga ndio maana Manara anapigwa vita sana. Ukiachana na Manara mwingine anayepigwa vita ni Mayele.

Wanayanga Bugatt akiguswa ni Yanga imeguswa. Kila mtu sasa asimame na Manara na Yanga yetu. Tupo vitani tuipigane wote.

Tumetukanwa sana
Tumetaniwa sana
Tumeonewa sana.

Kwa sasa inatosha Finally Manara sio Kichaa. Inasikitisha kuona hii vita kaachiwa Manara mwenyewe... Akifungiwa ni Yanga imefungiwa. Amkeni na kila mwanayanga ashare huu ujumbe. Mafanikio yetu yamekuja na Changamoto.... lazima tuzikabili tuwe Agresive

Karia huyu huyu aliwahi kumtukana Tundu Lisu pamoja na Majanga aliyoyapata. Hapana yatosha sasa ...

Ole Mushi
0712702602
 
Manara ajawai kufungiwa na tff kwa utovu wa nidhamu?.
ikitokea Manara akafungiwa wanachama wanapaswa kufanya nini?
 
Eti "anapambana nje ya uwanja", well kama tafsiri ya kupambana ni kutoa lugha chafu pamoja na kukejeri wengine basi ngoja tuone outcome yake ikoje kisheria

Wewe na Thadei wote akili zenu hazipo sawa

Unaelewa kwamba kipindi karia aningia madarakani huyo manara alikuwa amepigwa kifungo cha kutojihusisha ja mpira kwenye uongozi wa malinzi?

Unaelewa kwamba huyo Karia ambaye unasema ana chuki na manara ndiye aliyemtoa kifungoni manara?
 
Manara anazidi kutetewa kila Kona na wananchi.
Ghazwat Tate Mkuu
Wapambane tu wenyewe huko huko. Hao wote wawli sina wa kumtetea.

Kwanza simkubali huyo Wallace Karia kwa sababu ni kada wa ccm, ni shabiki wa simba, lakini pia siyo mmiliki wa mpira wa Tanzania. Huyu ni mamluki tu mwenye asili ya Somalia huko.

Lakini pia siwezi kuwasahau Haji Manara na mwenzake Bernard Morison kwa kutukera mashabiki wa Yanga, wakati wapo simba.
 
Eti "anapambana nje ya uwanja", well kama tafsiri ya kupambana ni kutoa lugha chafu pamoja na kukejeri wengine basi ngoja tuone outcome yake ikoje kisheria...
Alimtoa kwasababu alikuwa Simba mwenzake
 
Mkishamaliza kumtetea huyo mjinga mumsindikize siku ya hukumu yake TFF.
 
👇😁😁😁
 
Wapambane tu wenyewe huko huko. Hao wote wawli sina wa kumtetea.

Kwanza simkubali huyo Wallace Karia kwa sababu ni kada wa ccm, ni shabiki wa simba, lakini pia siyo mmiliki wa mpira wa Tanzania. Huyu ni mamluki tu mwenye asili ya Somalia huko.

Lakini pia siwezi kuwasahau Haji Manara na mwenzake Bernard Morison kwa kutukera mashabiki wa Yanga, wakati wapo simba.
Manara hayupo kwenye ukada wa CCM?
 
manara ni ACT? utopolo akili ziko kwenye mwiko huko nyuma
 
BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.

Na Thadei Ole Mushi.

Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale yanga kufa na kupona kuiheshimisha club yetu.

Haji Manara, El-Buggat alikuja Yanga ikiwa ina GSM na ina kila kitu isipokuwa kitu kimoja tu Yanga ilikuwa haina Saikolojia nje ya uwanja na kujiamiani jambo ambalo limesababisha mwaka huu Yanga kunyanyua makombe matatu.

Manara anafanya kazi kubwa sana pale Yanga, anacheza game zote za nje ya uwanja, anaitangaza brand yetu vilivyo, anatufanya tujiamini, anapigana vita vyote nje ya uwanja sio sahihi yeye kwa sasa kushambuliwa na sisi kukaa kimya. Wanayanga wote wanapaswa sasa kuamka na kumsemea huyu mpambanaji wetu.

Yanga huko nyuma imefanyiwa hujma nyingi sana chini ya uongozi huu huu unaomtuhumu Haji kwa sasa, nani asiyejua kuwa Karia ni Simba na mpango wake ni kuidhoifisha Yanga? anajua ukimpiga Manara akatulia Mengi ya Hovyo na Hujuma Yanga itafanyiwa na hakuna wa kusema.

Issue ya Arusha ipo hivi.

Manara aliitwa na Mh John Mongela mkuu wa Mkoa wa Arusha jukwaa kuu. Manara alipokwenda Karia akaanza kumdhihaki na kumtolea maneno ya Kashfa. Kiuhalisia Karia alienda Arusha sio kama Rais wa TFF bali alikuwa amebeba agenda za COASTAL Union. Ndio maana hadharani kabisa alisema kuwa mmesawazisha ila mlikuwa na "Kinyesi kwenye chupi" maneno haya aliyasikia mkuu wa wilaya Arusha DC Mtanda na alisikia pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Karia hapendi mafanikio ya Yanga ndio maana Manara anapigwa vita sana. Ukiachana na Manara mwingine anayepigwa vita ni Mayele.

Wanayanga Bugatt akiguswa ni Yanga imeguswa. Kila mtu sasa asimame na Manara na Yanga yetu. Tupo vitani tuipigane wote.

Tumetukanwa sana
Tumetaniwa sana
Tumeonewa sana.

Kwa sasa inatosha Finally Manara sio Kichaa. Inasikitisha kuona hii vita kaachiwa Manara mwenyewe... Akifungiwa ni Yanga imefungiwa. Amkeni na kila mwanayanga ashare huu ujumbe. Mafanikio yetu yamekuja na Changamoto.... lazima tuzikabili tuwe Agresive

Karia huyu huyu aliwahi kumtukana Tundu Lisu pamoja na Majanga aliyoyapata. Hapana yatosha sasa ...

Ole Mushi
0712702602

Acha ujinga dogo
 
Eti "anapambana nje ya uwanja", well kama tafsiri ya kupambana ni kutoa lugha chafu pamoja na kukejeri wengine basi ngoja tuone outcome yake ikoje kisheria

Wewe na Thadei wote akili zenu hazipo sawa

Unaelewa kwamba kipindi karia aningia madarakani huyo manara alikuwa amepigwa kifungo cha kutojihusisha ja mpira kwenye uongozi wa malinzi?

Unaelewa kwamba huyo Karia ambaye unasema ana chuki na manara ndiye aliyemtoa kifungoni manara?
Alimtoa kifungoni kwa sababu kwa wakati huo walikuwa ni "ndege wafananao".
 
BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.

Na Thadei Ole Mushi.

Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale yanga kufa na kupona kuiheshimisha club yetu.

Haji Manara, El-Buggat alikuja Yanga ikiwa ina GSM na ina kila kitu isipokuwa kitu kimoja tu Yanga ilikuwa haina Saikolojia nje ya uwanja na kujiamiani jambo ambalo limesababisha mwaka huu Yanga kunyanyua makombe matatu.

Manara anafanya kazi kubwa sana pale Yanga, anacheza game zote za nje ya uwanja, anaitangaza brand yetu vilivyo, anatufanya tujiamini, anapigana vita vyote nje ya uwanja sio sahihi yeye kwa sasa kushambuliwa na sisi kukaa kimya. Wanayanga wote wanapaswa sasa kuamka na kumsemea huyu mpambanaji wetu.

Yanga huko nyuma imefanyiwa hujma nyingi sana chini ya uongozi huu huu unaomtuhumu Haji kwa sasa, nani asiyejua kuwa Karia ni Simba na mpango wake ni kuidhoifisha Yanga? anajua ukimpiga Manara akatulia Mengi ya Hovyo na Hujuma Yanga itafanyiwa na hakuna wa kusema.

Issue ya Arusha ipo hivi.

Manara aliitwa na Mh John Mongela mkuu wa Mkoa wa Arusha jukwaa kuu. Manara alipokwenda Karia akaanza kumdhihaki na kumtolea maneno ya Kashfa. Kiuhalisia Karia alienda Arusha sio kama Rais wa TFF bali alikuwa amebeba agenda za COASTAL Union. Ndio maana hadharani kabisa alisema kuwa mmesawazisha ila mlikuwa na "Kinyesi kwenye chupi" maneno haya aliyasikia mkuu wa wilaya Arusha DC Mtanda na alisikia pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Karia hapendi mafanikio ya Yanga ndio maana Manara anapigwa vita sana. Ukiachana na Manara mwingine anayepigwa vita ni Mayele.

Wanayanga Bugatt akiguswa ni Yanga imeguswa. Kila mtu sasa asimame na Manara na Yanga yetu. Tupo vitani tuipigane wote.

Tumetukanwa sana
Tumetaniwa sana
Tumeonewa sana.

Kwa sasa inatosha Finally Manara sio Kichaa. Inasikitisha kuona hii vita kaachiwa Manara mwenyewe... Akifungiwa ni Yanga imefungiwa. Amkeni na kila mwanayanga ashare huu ujumbe. Mafanikio yetu yamekuja na Changamoto.... lazima tuzikabili tuwe Agresive

Karia huyu huyu aliwahi kumtukana Tundu Lisu pamoja na Majanga aliyoyapata. Hapana yatosha sasa ...

Ole Mushi
0712702602
Naitisha challenge, kama kuna aliyeelewa utopolo ulioandika anieleweshe nitamzawaeia laki tano cash
 
Mipira ya mipasho,sijui saikolojia mipasho mwisho bongo...
Mkienda kimataifa hoiii

Ova
 
Umeamua kutufanya sisi WANGESE WENZAKO
 
Back
Top Bottom