lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura.
Wito wangu Ni hivi,
Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani.
Nendeni mkapige kura
Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu Akwilina. Unapoingia chumba Cha mpiga kura Mkumbuke Marehemu Akwilina msichana Mrembo aliekufa kwa risasi kizembe kwa ujinga uliosababishwa na CCM
Akwilina binti kutoka familia Masikini aliekua anasoma chuo huku na yeye akimsomesha mdogo wake.
Pia kapigeni kura huku mkikumbuka kuwa mikopo ya wanafunzi ilikua ya wanafunzi wote kwa kuzingatia viwango vya ufaulu,lakini akaja mjuaji akasema watakaopewa mikopo ni wale tu waliosoma Shule za sekondari za serikali, waliosoma English Medium hawastahili
Mkapige kura huku mkikumbuka kuwa riba ya rejesho ya mkopo imeongezwa kutoka asilimia 3 Hadi asilimia 15.
AKWILINA
Ili kukuenzi tutampa LISSU kura zote na ndio.
Tutakukumbuka AKWILINA.