ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kweli una hoja .......Shida ya hiyo iko kwenye uniformity, watu wengine wanafahamika na wengine hawafahamiki, isije kuonekana wanachangiwa wanaofahamika na wasiofahamika hawachangiwi.
Naunga mkono hojaWanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja.
Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa 2:00 usiku nimeisha pindua gari, hivyo kufika saa 8 usiku, usingizi umakata. Mtu anabaki kuhesabu kelechi na hizi nyumba zetu za kupanga ambazo hazina siling board, na usiku wa manene ulivyo utulivu, unajikuta unayasikia yanayoendelea chumba cha jirani, kuna sauti na sauti, lakini sauti nyingine kiukweli, usingizi ndio unakata kabisa, nikajikuta naingia MMU, ndio usingizi ukakata kabisa baada ya kukuta taarifa ya kifo cha member maarufu number 1 wa jf kule MMU na Celebrity Forum.
Duh..., japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa.
Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, if management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea gari yake!
Hebu tazameni hapa chini
I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wakiwa na mtu wa jf atoe neno.
Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha.
Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na jf wanajali.
Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the unanimity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi , lakini
pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi , then he/she will always be warumi.
Hivyo naomba kutoa wito wa swali kwa sisi wana JF, JF Member are equal, sasa member mwenzetu anapokufa, jee tuanze kuonyesha solidarity kwenye msiba kwa kushiriki na kumuenzi member mwenzetu kama tulivyofanya kwenye msiba wa Regia Mtema?, au tuache tuu hali hii iendelee kwasababu kila mtu na bahati yake na hadhi yake na umaarufu wake?.
Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi !.
Pasco wa jf, anakulilia.
Paskali
mara paap anaona jina la mtumaji ni mimi niliyekuwa natukanana naye jamvini, kumbe ni bosi wake kazini.... Lahaula lakwata! Kumbe bosi yuko JF anamwaga pumba kichizi.[emoji16][emoji16][emoji16]Naona haya kwenye magrupu ya WhatsApp ya watu wanaofahamiana kabisa inavyokuwa ngumu kutekelezeka. Sembuse hapa ambapo hatujuani kabisa?
Mi nadhani liwe jambo la hiari kwa watakoguswa. Namba inatolewa watu wanachanga...
Tatizo naloliona hapa, nikituma hela kwa mchangishaji, mara paap anaona jina la mtumaji ni mimi niliyekuwa natukanana naye jamvini, kumbe ni bosi wake kazini.... Lahaula lakwata! Kumbe bosi yuko JF anamwaga pumba kichizi.
Hivi mnajuaje kama member wa JF kafa ?Tufanye jambo, uko sahihi sana Nsumba Ntale, Pascal Mayalla.
Ni lazima JamiiForums tuwe na utamaduni wetu mzuri wa mshikamano kipindi cha majonzi.
Buriani warumi na Wana JamiiForums wote waliotangulia mbele ya haki.
Mungu awaangazieni mwanga wa milele na kuwapeni pumziko lenye raha.
Yaani unafikiri nini kazi ya Mshana Jr humu ndani? Bundi wake wanasoma nani anafuata sasa? Kisha wanampa taarifa.Hivi mnajuaje kama member wa JF kafa ?
Zamani when jf was small, jf used to do something kwenye misiba ya members wake waandamizi, Sanctus Mtsimbe aliwahi kuwa a Tanzanite member.Wanabodi,
Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, Jf management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea, usafiri wa gari yake, akajaza mafuta, akawasomba jf wakatia timu kuhudhuria mazishi, Ifakara.
Hebu tazameni hapa chini
I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wafiwa na mtu wa jf atoe neno.
Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha.
Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na wana jf wanajali.
Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the anonymity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi , lakini
pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi , then he/she will always be warumi.
Hivyo naomba kutoa wito wa swali kwa sisi wana JF, JF Member are equal, sasa member mwenzetu anapokufa, jee tuanze kuonyesha solidarity kwenye msiba kwa kushiriki na kumuenzi member mwenzetu kama tulivyofanya kwenye msiba wa Regia Mtema?, au tuache tuu hali hii iendelee kwasababu kila mtu na bahati yake na hadhi yake na umaarufu wake?.
Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi !.
Pasco wa jf, anakulilia.
Paskali
Umenena kwa BusaraWanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja.
Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa 2:00 usiku nimeisha pindua gari, hivyo kufika saa 8 usiku, usingizi umakata.
Mtu anabaki kuhesabu kenchi na hizi nyumba zetu za mbavu za mbwa za kupanga ambazo hazina siling board, na usiku wa manene ulivyo utulivu, unajikuta unayasikia yanayoendelea chumba cha jirani, kuna sauti na sauti, lakini sauti nyingine kiukweli, usingizi ndio unakata kabisa!, nikajikuta naingia MMU, ndio usingizi ukakata kabisa baada ya kukuta taarifa ya kifo cha member maarufu number 1 wa jf kule MMU na Celebrity Forum.
Duh, japo mimi sio mwanachama active wa celebrity forum, ila jamaa namkubali sana na nimeguswa!.
Zamani JF ilikuwa tukipoteza mwanachama, Jf management ilikuwa inafanya some sort of organisation, nakumbuka msiba wa Regia if tulitengeneza hadi Tshirts na tuka jiorganize hadi kuhudhuria mazishi kule Ifakara, tena kuna member alijitolea, usafiri wa gari yake, akajaza mafuta, akawasomba jf wakatia timu kuhudhuria mazishi, Ifakara. Hebu tazameni hapa chini.
I don't know what happened now. Should we push for equal treatment during the demise of our members, tuweke system ya ndugu kuripoti kwa jf management kifo cha mwanachama wetu yoyote regardless umaarufu wake, kisha waweke number ya mchango, wana jf kuchangie, na siku ya kuaga jf management iwepo na kukabidhi mchango kwa wafiwa na mtu wa jf atoe neno.
Na kwenye mazishi ya wana jf wa eneo husika wahudhurie kutuwakilisha. Kwenye mchango wa rambirambi hata tukiweka minimum TZS 1,000 tuu, kwa jinsi tulivyo wengi, hiyo fedha ina kuwa ina impact kubwa na ni faraja kwa familia kujua mpendwa wao alikuwa mwanachama wa mtandao wa jf na wana jf wanajali.
Na kwa vile wengi wa wana jf wanatumia pen names, ili kuheshimu the anonymity ya marehemu, humu jf tuu ndio atatajwa kwa jina lake la jf, mfano huyu warumi lakini pale msibani no one will mention his name, hata kwenye Salaam za jf, hatamkwi popote kwa jina, bali "marehemu alikuwa mwanachama wetu, alijinga jf lini, amechangia mada mbalimbali etc just that, na if members watakao hudhuria msiba, kwa vile kule wataliona na kulijua jina halisi, kanuni yetu na "name calling" iwe strictly observed kumuheshimu marehemu kwa kutolitaja jina lake halisi, maadam humu kwetu alikuwa warumi, then he/she will always be warumi.
Hivyo naomba kutoa wito wa swali kwa sisi wana JF, JF Member are equal, sasa member mwenzetu anapokufa, jee tuanze kuonyesha solidarity kwenye msiba kwa kushiriki na kumuenzi member mwenzetu kama tulivyofanya kwenye msiba wa Regia Mtema?, au tuache tuu hali hii iendelee kwasababu kila mtu na bahati yake na hadhi yake na umaarufu wake?
Mkuu Maxence Melo , if there is anything jf can do kuhusu huyu fallen hero, let's do something kuonyesha solidarity yetu.
RIP warumi
Pasco wa JF, anakulilia.
Paskali
Kuna mtu akijua ID yako inakuwa nongwa hasa ukiwa na mambo makavu makavu..ndio maana watu wanaogopa..Jambo zuri Sana muitikio hafifu sijui kwa nini
Mambo makavu kwenye hoja za msingi? Matusi hayaui bhana.Kuna mtu akijua ID yako inakuwa nongwa hasa ukiwa na mambo makavu makavu..ndio maana watu wanaogopa..