Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Na ACTTutajitokeza kwa wingi kumchagua Tundu Antiphas Lissu na madiwani na wabunge wa Chadema
Sahihi kabisa Bara ni Chadema na visiwani ni ACTNa ACT
Haujasoma uzi vizuri? Ametapika indirect!Paskali unaanza kupata akili nini? Mbona leo hujatapika
Yani huyu mtu anataka kutufanya wana Jf wote ni wajinga na waganga njaa kama yeye.Kura haipotei. Kwa kura ya Rais, inaongeza ruzuku za chama.
Kwa mbunge, inaongeza asilimia kwenye wabunge wa viti maalumu.
Kasema tuchague chama kinachokubalika na wengi.Haujasoma uzi vizuri?!Ametapika indirect!
Jamaa unatakiwa usome kati ya mstari, kwamba unatakiwa uchague chama cha ushindi.Kaka paskali una akili Sana kwenye soka hii tunaiita both teams to score au double chance Ingawa Ni mmoja kati ya wafia chama cha kijani ila umeenda kinyume na mwenyekiti wako anaewapangia wapiga kura yupi wamchague Tena kwa vitisho.