Uchaguzi 2020 Wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi WanaJF, Oktoba 28 tujitokeze kwa wingi chagua chama cha ukweli kwa maendeleo ya kweli

Uchaguzi 2020 Wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi WanaJF, Oktoba 28 tujitokeze kwa wingi chagua chama cha ukweli kwa maendeleo ya kweli

Akili zote zimeisha ama ndio unazeeka kwa kasi??
Hata uandishi wako si mzuri.

Umeandika utopolo wa kipumbavu sana .

Kwenye kupiga kura, ukichagua chama ambacho sicho, ambacho sio chama cha ushindi, unakuwa umepoteza kura yako!.
Tukapige kura lakini tusipoteze kura zetu!.

Paskali

JISAHIHISHE.
 
Hatuchagui chama cha ;

1. Kutubagua kikabila na kikanda

2. Kukandamizia uhuru, haki na demokrasia

3. Kubambikia kesi wakosoaji, kuwateka, kuwatesa na kuwauwa

4. Kutoboresha maslahi ya watumishi wa umma

5. Kutolipa hela za korosho

6. Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa vijijini kwao

Watanzania sio wajinga wanaelewa
Acha utopolo mkuu
 
Wanabodi

Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito...
Msifanye kosa watanzania wenzangu ni miaka zaidi ya 60 tunatawaliwa na genge la watu fulani, ni wakati wa mabadiliko.
 
Kaka paskali una akili Sana kwenye soka hii tunaiita both teams to score au double chance Ingawa Ni mmoja kati ya wafia chama Cha kijani ila umeenda kinyume na mwenyekiti wako anaewapangia wapiga kura yupi wamchague Tena kwa vitisho...
Kwenye vidioo kasema chagua chama ambacho kimeshatenda sio kinachoahidi akikusudia watu wachague CCM kachemka , ila P kwa kuuma na kupuliza hajambo , kifupi P sisi hatuchagui wauaji na watekaji , wahutu , wabguzi wa kikabila , kidini , hatuchagui watu wasio na huruma , makatili walafi , mafisadi nadhani umeelewa .
 
Hatuchagui chama cha ;

1. Kutubagua kikabila na kikanda

2. Kukandamizia uhuru, haki na demokrasia

3. Kubambikia kesi wakosoaji, kuwateka, kuwatesa na kuwauwa

4. Kutoboresha maslahi ya watumishi wa umma

5. Kutolipa hela za korosho

6. Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa vijijini kwao

Watanzania sio wajinga wanaelewa
 
chagua chama cha ukweli chenye uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli!.
Hivi kuna chama cha uwongo? Hivi vyama vilivyoendesha halmashauri hapa Tanzania havikuleta maendeleo mapaka kunyakua mapato yao? Huko Kenya, mbali na KANU ilioneshwa kuwa vyama vyote ni vya kweli, hivi juzi Malawi imeoneshwa pia.
Kwenye kupiga kura, ukichagua chama ambacho sicho, ambacho sio chama cha ushindi, unakuwa umepoteza kura yako!.
Tukapige kura lakini tusipoteze kura zetu!.
Tutajuaje chama cha ushindi na kisicho cha ushindi wakati hatujui maamuzi ya wapiga kura kwa sasa? Hakuna kura inayopotea, bali kura yaweza kuharibika.

AKASINOZO
 
Hatuchagui rais asiejua kidhungu.

Una hangaika sana bwana Msukuma Manjaa, uteuzi wa kulazimisha unadharirisha utu wako.

#NIYEYE #LISSURAIS2020
kura zote kwa LISSU.
 
Ataendelea kuchangisha ndani ya makanisa kwa ajili ya ujenzi wa misikiti.
Kuchangia msikiti sio hisani Bali ni kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Waislamu hatujakosa sehemu za kufanya ibada
Afadhali angetujengea shule
Shule zetu kila kukicha zinachomwa moto halafu hakuna uchunguzi
Mamia ya masheikh wanaozea jela bila kupelekwa mahakamani
Maeneo ya pwani mpaka Leo watoto wanasoma chini ya miti
Maeneo mengi ya waislamu hakuna
Barabara
Shule
Umene
Zahanati
, n, k
Lakini bado wengi wetu ni CCM
KWA sababu wengi wetu ni darasa la saba
 
Bibi yangu mzaa mama alikuwa na msemo wake:- "Fumbo mfumbie mjinga..." Sijui huu msemo unaliziwaje manake alifariki nikiwa mdogo!!

Sasa hapa Ndugu Mayallah, nawe fumbo mfumbie mjinga manake pamoja na kusema eti "sisemi mumchague nani" lakini umeshaonesha unataka wamchague nani pale unaposema "...lakini kuna wengine tayari, wameshafanya mambo makubwa ya kuonekanika, na wengine wanaahidi..."
 
Back
Top Bottom