Mtu kama mayalla alipata kura zero zerooo kabisa atakushauri nini?
Issue ya kukosekana kwa Zitto kujadili muswada huu, sio issue ya akidi, bali ukosefu wa mchango wake mahiri, kwa sababu, ukimuondoa Tundu Lissu na JJ. Mnyika...
Mkuu huyo siku hizi akili yake haiko sawa.Ona sasa akili za mtu kama huyu
Eti kura inakuwa imepotea ! How kila kura ina thamani kwa mgombea kwa sababu inahesabiwa