Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Ni mpuuzi tu anayeza kuamini this is possible kama imeshindikana miaka yote hiyo👉Unapoambiwa, ni wakati mwafaka sasa hivi kwa chama cha upinzani kama CHADEMA kuweka mikakati ya kuzuia uhalifu unnaofanywa na CCM kwa kutegemea nguvu za wananchi wenyewe, hutulizi akili na kujaribu kutafakari maana ya jambo hilo ni nini, unarukaruka tu kila mahali na kujaza maneno mengi tu kwenye mabandiko yako👈.

Kufanya jambo hilo hilo hilo tena na kwa mbinu hiyo hiyo na kutegemea matokeo tofauti ni stupidity.
 
CHADEMA already wameonyesha njia,naomba tuwaunge mkono.Ni wazi kwamba bila Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpywa hatuwezikabisa kuwa na uchaguzi huru na haki.Ni ujinga kufanya jambo hilo hilo kwa njia hiyo hiyo halafu utegemee matokeo tofauti.Msimamo wetu wananchi kama CHADEMA uwe huu,"hakuna Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya,hakuna uchaguzi "
 
Mwito wangu kama Mtanzania kwa Watanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, na Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani tusiende kupiga kura.Naamini hii ndiyo lugha CCM watakayoelewa.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala.Sasa kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, naomba tushirikiane wote.👌🏿
 
Sioni kama wapinzani kwa udhaifu walio nao wana nafasi ya kupata hata robo ya kura za urais labda kwa wabunge na madiwani
 
Familia Yako umeshawaambia. Basi ishia kwenye unaowalisha wengine tuache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…