Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Ondoa mawazo ya kike ya KUSUSA kwenye mada Yako!!

HOJA iwe, Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya hautafanyika uchaguzi wowote.

Issue hapo ni kuwa Serikali ihakikishe inatoa ushirikiano Ili uchaguzi ufanyike.

La wajipange.
Nimesema bila Katika Mpya na Tume Huru tusiende kwa kuwa tukienda bila Katiba mpya na Tume Huru tunaenda kufanya nini,si wataiba kura na kushinda straight,isn't stupid.
 
Wewe unataka "sisiem" ikuletee maendeleo nyumbani kwako huku umeandika nne kwenye sofa ukipungwa na kiyoyozi full raha mustarehe?
 
Kama ni hivyo toa hiko kipengele cha kumsifia Jiwe kwakuwa nayeye alikuwa mwana CCM na madudu yake mengi na si kwamba ameinyoosha nchi. Ukiamua kuwa BLACK kuwa real na WHITE kuwa real tofauti na hapo usiweke rejea ya mwanaCCM yeyote.
Kwa dhati tupo nyuma sana Kwa ubovu wa chama tawala .
 
Nimesema bila Katika Mpya na Tume Huru tusiende kwa kuwa tukienda bila Katiba mpya na Tume Huru tunaenda kufanya nini,si wataiba kura na kushinda straight,isn't stupid.
Hakuna kubaki ndani,

Watanzania tutoke kukataa uchaguzi wa maigizo usifanyike ikiwa watalazimisha Yale ya 2020 kuendelea.

Nchi ni yetu, tuache kulalama.
 
Sina hakika kama mwanasisiemu atakuelewa katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua mwana CCM hatanielewa,lakini mbona ni wachache.Kama sisi wengine tukiungana,something will happen.Mkuu Tume Huru na Katiba mpya ni muhimu sana,hivi vitu viwili ndivyo CCM wanavyotumia kushindia Uchaguzi.
 

Utawasikia wakisema wamepita bila kupingwa
 
Kwa hiyo wewe ndio msemaji wa wananchi wote huo msimamo wako mlikubaliana na nani na kwenye kikao kipi. Hapa kazi iendelee na mama mpaka 2030.
 
Wanasisiemu walio wengi wanaenda kupiga kura, wasiokuwa wanasisiemu wengi wanahudhuria mikutano ya kampeni siku ya kupiga kura hawaendi kupiga kura.

Kama kweli watanzania tunataka kuiondoa sisiemu madarakani ni lazima tabia hii tuiache bila kujali ni lini matokeo tunayoyataka yatapatikana.

Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar haikuja tu kwa kushuka toka mbinguni, ilikuwa ni hatua kwa hatua bila kuchoka. Wengi ambao sio wanasisiemu walihakikisha wanaenda kupiga kura kiasi ambacho kiliwabana hata hao wanasisiemu kushindwa kuiba kura kwakuwa hazikuibika tena.......stepu inayofuata ipo siku sisiemu itang'olewa pale Zanzibar.

Kuna suala la uimara wa wagombea wa vyama vinavyokinzana na sisiemu ni la msingi sana na muhimu. Hii tabia ya wagombea wa vyama mbadala kununulika kirahisi na sisiemu linawakatisha sana tamaa watanzania wenye nia thabiti ya kutaka mabadiliko. Mgombea ni lazima awe na misimamo inayoeleweka na isiyoyumba Wala kuyumbishwa.

Mabadiliko ya kiuongozi ni mchakato wa hatua kwa hatua na yanahitaji uvumilivu na kutokata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu,Magufuli alikuwa na nia ya dhati ya kuitoa Tanzania ilipo,labda wewe uliingia kwenye hamsini zake,pole.
 
Hizi ni porojo zile zile za wanasiasa.Mkurugenzi wa Halimashauri ndiye msimamazi,Katiba ni ile ile watu waende tu kuchagua.Dah,it is stupid kufanya kitu kile kile,kwa mbinu zile zile halafu utegemee matokeo tofauti.I believe Tanzanians aren't that stupid.
 
Kiukweli CCM imeturudisha nyuma sana hasa kielimu.

1.Iliufaidi Elimu yako lazima ujipendekeze kwa CCM hata kama ni professor
2.Ili ufanye tafti zenye manufaa kwa Jamii hakikisha haugusi CCM
3.Hata kama ni professor lazima ujitoe ufahamu kwenye mambo ambayo CCM haitaki , case study COVID 19
4.Waliko kwenye nafasi za uongozi na utawala kama Afisa Elimu ,MADAKTARI wa wilaya na MKOA siyo Kwa ufanisi wa kazi wala Elimu .Kwa vimemo kutoka UVCCM

Nakumbuka wakati fulani MUHAS kulikuwa na vilaza wa CCM tulivyo maliza wote wakapewa uganga ukuu wa wilaya mbalimbali.

6.Mganga mkuu wa Halmashauri fulani aliingia Kwa sms ya Baba yake kumuandikia Katibu Mkuu wa CCM taifa.
 
Susa wewe na wenzako....

Mimi sitosusa na nitakuwa na wenzangu.....

Mlisusa uchaguzi wa serikali za mitaa....kilichobadilika ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]


Like proverb says ,NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji120]

Wenye "knowledge" hatutoususa uchaguzi/chaguzi....

#Si Watanzania Wote Wanaifahamu Vyema Katiba Iliyopo[emoji120]

#Katiba Iliyopo Ina Mazuri Mengi Yanayoangaliwa Kibubusa[emoji120]

#Katiba Iliyopo Ndiyo Inayolinda STABILITY ya Taifa Hili[emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji1720][emoji106][emoji109][emoji2788]
 
Ona huyu CCM
 
Naamini wasiowataka ni wengi,waende wanachama wao tu,na naamini kwa haya yanayo-tokea hata wanachama wao watawasusia.
Huna takwimu za kisomi....

Takwimu mtambuka umefanyia wapi ?!!!

Research methodology" yako ni ipi ?!! [emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…