mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema bila Katika Mpya na Tume Huru tusiende kwa kuwa tukienda bila Katiba mpya na Tume Huru tunaenda kufanya nini,si wataiba kura na kushinda straight,isn't stupid.Ondoa mawazo ya kike ya KUSUSA kwenye mada Yako!!
HOJA iwe, Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya hautafanyika uchaguzi wowote.
Issue hapo ni kuwa Serikali ihakikishe inatoa ushirikiano Ili uchaguzi ufanyike.
La wajipange.
Taja hapa huo ufisadi na sisi tuuone usituletee uzushi sisi.Hunabaibu kabisa wewe kasi ipi,kurudi kwa grand ufisadi.
Kama ni hivyo toa hiko kipengele cha kumsifia Jiwe kwakuwa nayeye alikuwa mwana CCM na madudu yake mengi na si kwamba ameinyoosha nchi. Ukiamua kuwa BLACK kuwa real na WHITE kuwa real tofauti na hapo usiweke rejea ya mwanaCCM yeyote.Sina agenda na mtu yeyote,labda umuweke wewe.Mimi huwa najali issues sio mtu.Samia ameshindwa kazi aliyopewa,wananchi lazima tuonyeshe kwamba we want change,we want a more competent President.Na kwa kuwa hakuna abayeweza kutusaidia,tuonyeshe kutokuridhishwa nae kwa kukaa nyumbani siku ya uchaguzi bila Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Hakuna kubaki ndani,Nimesema bila Katika Mpya na Tume Huru tusiende kwa kuwa tukienda bila Katiba mpya na Tume Huru tunaenda kufanya nini,si wataiba kura na kushinda straight,isn't stupid.
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Hapana mkuu,Magufuli alikuwa na nia ya dhati ya kuitoa Tanzania ilipo,labda wewe uliingia kwenye hamsini zake,pole.Kama ni hivyo toa hiko kipengele cha kumsifia Jiwe kwakuwa nayeye alikuwa mwana CCM na madudu yake mengi na si kwamba ameinyoosha nchi. Ukiamua kuwa BLACK kuwa real na WHITE kuwa real tofauti na hapo usiweke rejea ya mwanaCCM yeyote.
Kwa dhati tupo nyuma sana Kwa ubovu wa chama tawala .
Hizi ni porojo zile zile za wanasiasa.Mkurugenzi wa Halimashauri ndiye msimamazi,Katiba ni ile ile watu waende tu kuchagua.Dah,it is stupid kufanya kitu kile kile,kwa mbinu zile zile halafu utegemee matokeo tofauti.I believe Tanzanians aren't that stupid.Wanasisiemu walio wengi wanaenda kupiga kura, wasiokuwa wanasisiemu wengi wanahudhuria mikutano ya kampeni siku ya kupiga kura hawaendi kupiga kura.
Kama kweli watanzania tunataka kuiondoa sisiemu madarakani ni lazima tabia hii tuiache bila kujali ni lini matokeo tunayoyataka yatapatikana.
Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar haikuja tu kwa kushuka toka mbinguni, ilikuwa ni hatua kwa hatua bila kuchoka. Wengi ambao sio wanasisiemu walihakikisha wanaenda kupiga kura kiasi ambacho kiliwabana hata hao wanasisiemu kushindwa kuiba kura kwakuwa hazikuibika tena.......stepu inayofuata ipo siku sisiemu itang'olewa pale Zanzibar.
Kuna suala la uimara wa wagombea wa vyama vinavyokinzana na sisiemu ni la msingi sana na muhimu. Hii tabia ya wagombea wa vyama mbadala kununulika kirahisi na sisiemu linawakatisha sana tamaa watanzania wenye nia thabiti ya kutaka mabadiliko. Mgombea ni lazima awe na misimamo inayoeleweka na isiyoyumba Wala kuyumbishwa.
Mabadiliko ya kiuongozi ni mchakato wa hatua kwa hatua na yanahitaji uvumilivu na kutokata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli CCM imeturudisha nyuma sana hasa kielimu.Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Susa wewe na wenzako....Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Hoja haijaungwa mkono na kila mmoja....Naam
Hoja imeungwa mkono.
Wanaokubali waseme ndiyoooo
Wasioafiki waseme hapanaa
[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji1720][emoji106][emoji109][emoji2788]Me huwa siwaelewagi mnaolilia tume huru ya uchaguz et sijui katiba mpya, hivi unahisi hayo yatabadilisha nini ikiwa watu ni wale wale?
Hiyo tume huru ya uchaguzi watashindwa nini kuihonga hela ili watoe matokeo wanayoyataka?
Jirani zetu Kenya hapo uchaguzi wao uliopita ulisimamiwa na tume huru, je wamepata walichotegemea?
Sijui katiba mpya, je yaliyopo kwenye katiba ya sasa yanasimamiwa?
Ishu ni viongozi hawana uchungu na watanzania na ni wabinafsi na issue sio katiba mpya wala tume huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona huyu CCMSusa wewe na wenzako....
Mimi sitosusa na nitakuwa na wenzangu.....
Mlisusa uchaguzi wa serikali za mitaa....kilichobadilika ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Like proverb says ,NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji120]
Wenye "knowledge" hatutoususa uchaguzi/chaguzi....
#Si Watanzania Wote Wanaifahamu Vyema Katiba Iliyopo[emoji120]
#Katiba Iliyopo Ina Mazuri Mengi Yanayoangaliwa Kibubusa[emoji120]
#Katiba Iliyopo Ndiyo Inayolinda STABILITY ya Taifa Hili[emoji120][emoji120][emoji120]
Huna takwimu za kisomi....Naamini wasiowataka ni wengi,waende wanachama wao tu,na naamini kwa haya yanayo-tokea hata wanachama wao watawasusia.
Wewe ni CCM na una manufaa ndani huwezi kuafiki hiliHoja haijaungwa mkono na kila mmoja....
Mleta hoja AMEKURUPUKAAA