Mimi nimeiunga mkonoHoja haijaungwa mkono na kila mmoja....
Mleta hoja AMEKURUPUKAAA
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Kuna watanzania wajinga ndugu, ccm wakiwapa tu kanga wanabebwa kwenye magari wanaenda lupiga kura, kwa unadhani huwa wanafanyaje kwenye mikutano yao? Wanagawa ef tano tan9 na wanasomba kwa maloriSawa,sisi tukae nyumbani,mbona maruhani hayaonekani?Tusipokwenda watajistukia mkuu,na uovu wao utakuwa dhahiri.
Not sent not delivered...Message already sent.Tusubiri matokeo.
CCM hakina tume ya uchaguzi.....Mimi binafsi sipigi kura tena chini ya tume ya CCM
Hutokwenda wewe na wenzako wachache...Tusiende kupiga mkuu,waibike.
haya tufanyejee weka mbinu...Me huwa siwaelewagi mnaolilia tume huru ya uchaguz et sijui katiba mpya, hivi unahisi hayo yatabadilisha nini ikiwa watu ni wale wale?
Hiyo tume huru ya uchaguzi watashindwa nini kuihonga hela ili watoe matokeo wanayoyataka?
Jirani zetu Kenya hapo uchaguzi wao uliopita ulisimamiwa na tume huru, je wamepata walichotegemea?
Sijui katiba mpya, je yaliyopo kwenye katiba ya sasa yanasimamiwa?
Ishu ni viongozi hawana uchungu na watanzania na ni wabinafsi na issue sio katiba mpya wala tume huru
Sent using Jamii Forums mobile app
kasi ipi aliyonayo...??Unajidanganya au kasi ya mama samia imekuchanganya nini.
Mtaishia kugongwa virungu na police muishie kuwa walemavu halafu mje na kauli ya Mungu atatulipia.
Ukishajitambua kwenye maisha pigania maendeleo ya familia yako hayo mengine unayoona hayawezekani yaache yakupite tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa buku saba na wale wazee wa vitenge, kofia na t-shirts hawawez gomea maan tyr wamepewa mzigo wa hayo niliyoainisha hapo juu!!Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Wewe ni li-CCM lazima useme huu upuuzi.Hata hivyo ifike mahali muone aibu kwa uovu mnatufanyia Watanzania.it seems mmejivua ubinadamu kabisa,tunawaona ni binadamu wenzetu kumbe sio.CCM peke yake ndio itatuvusha watanzania dhidi ya madui watatu namini wazalendo wanajua