Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kama hauoni basi utakuwa kipofu siwezi kukulaumukasi ipi aliyonayo...??
Mkuu tumefanyahivyo Kwa takribani miaka 20 iliyopita.Tangu 1995CCM wanajijua wameshachokwa.Kuwasusia uchaguzi ni kuwawashia "Green Light" waendelee kutawala,ni sawa na kumkabidhi fisi bucha,manake wanajijua kwenye ballot box/sanduku la kura hawatoboi.Mimi nafikiri labda ungeshauri tuingie kwenye uchaguzi kwa kulinda kura zetu.Ni ngumu kushinda uchaguzi wa raisi kwa jinsi mambo yalivyolakini angalau ubungo watakuwepo wawakilishi wa wananchi toka upinzani ambao watawasha moto na wabunge wa CCM waonekane hawana lolote mbele ya wananchi.Ni mwisho wa siku,miaka inavyokwendda,CCM watamwaga manyanga tu.Sababu ya kukosa support ya wananchi walio wengi 🤔
Nyinyi chawa wazee ni sahihi kuendelea kuitaka ccm. Ni nadra kukuta mzee haikubali ccm.Sisi bado tunaitaka CCM wewe kama hutaki hama nchi
Sio uchaguzi, sema maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura yatafanyika.Uchaguzi utafanyika vizuri tu wala usijitie presha huna unaloweza kufanya kuzuia uchaguzi.
Na nyie vijana ujinga ukiwatoka mtaielewa tu CCMNyinyi chawa wazee ni sahihi kuendelea kuitaka ccm. Ni nadra kukuta mzee haikubali ccm.
Sisi tuelewe chama kizee Cha majizi ya kura?Na nyie vijana ujinga ukiwatoka mtaielewa tu CCM
Umechanganyikiwa weweSisi tuelewe chama kizee Cha majizi ya kura?
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Ccm ipi? Fungua video hapa 👇Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Jinsi CCM inavyokuwa haikubaliki na wanaingia kutawala kimabavu ndivyo inavyoendelea kuchochea hasira za wananchi.Hao hao wananchi ndio watakaoiondoa hiyo CCM madarakani.Rejea:Utawala wote wa kidikteta Africa na duniani kwa ujumla nini kilitokea baadae?!🤔Mkuu tumefanyahivyo Kwa takribani miaka 20 iliyopita.Tangu 1995
labda kasi ya kukata umemeKama hauoni basi utakuwa kipofu siwezi kukulaumu
Yaani mi-CCM bwana,hamjali kabisa kuhusu wananchi,you only care about power,nadhani it is time for you to go,inatosha.Mkamzushia Magufuli ni dictator,kumbe you wanted him out ili mfanye yenu.Waovu sana.Wewe jinsi unavyoandika unaonesha hujawahi kupiga kura hata mara moja.
Mkisusa sisi twatusua kiulaini, twawapenda walao seuse wasokula.
Wewe utakuwa ni li-CCM lazima.Hao unaowanyesha wamenunuliwa kwa hela ya wizi ,hamna kitu,mtu timamu hawezi kulipenda li-CCM.Tusubiri time will tell.
Kususia kwa aina yoyote ile ni kuwaruhusu CCM waendelee kuiharibu nchi yetu. Hiyo siyo njia sahihi kabisa ya kutatua tatizo.Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
LOOoh!Taarifa tulizonazo kutoka kwa Makarani wa uchaguzi ni clear,CCM wanaiba kura,tena kwa vitisho vya watu wa usalama.Kwa hiyo tukiwa na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi,CCM hawawezi kushinda Uchaguzi.
Mkiacha john cheyo momose na profesa Lipumba watagombea saaaaafi kabisa. Na watapata wabunge wengi sana wakuparia misaada kutoka nje ya nchi na maisha yatakwenda kama kawaida.Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Sio mkuu,infact kwenda kwenye Uchaguzi mkuu bila Tume Huru na Katiba Mpya ndio kuwapa free ticket CCM ya kushinda,kwa kuwa itakuwa rahisi sana wao kuiba kura na kutangaza mshindi bila kushinda,kwa kuwa kwa Katiba iliyopo,huwezi kuhoji matokeo mpaka kwanza mshindi atangazwe.Halafu kumbuka kwamba Mkurugenzi wa Halimashauri ndiye msimazi wa Uchaguzi.Katika mazingira hayo ushindi wa any other political affiliation will only be possible after >1000 years.Nawashangaa sana,hivi kwa nini hamuuoni ukweli huu,are you serious?Kususia kwa aina yoyote ile ni kuwaruhusu CCM waendelee kuiharibu nchi yetu. Hiyo siyo njia sahihi kabisa ya kutatua tatizo.
Ni kama umetumwa tu kuja kuwapigia kampeni hao hao CCM.
Hapa usinilaumu, nimejibu tu kufuatana na kichwa cha mada kilivyowekwa.
Mkuu mimi zizungumzii vyama vya siasa tu,vyama na wananchi wote.I believe if that happens,it will be hard to swallow for CCM.Legitimacy inatoka kwa wananchi,hawajawapa,mtajiwekaje madarakani?Hilo ndilo tunalotaka litokee.Mkiacha john cheyo momose na profesa Lipumba watagombea saaaaafi kabisa. Na watapata wabunge wengi sana wakuparia misaada kutoka nje ya nchi na maisha yatakwenda kama kawaida.
Mkuu, unayosema ni sahihi kabisa, lakini pia nikukumbushe, hata hiyo Katiba Mbovu iliyopo, hakuna mahala popote inaporuhusu uvunjifu wa sheria za uchaguzi. CCM wanachofanya ni kufanya uhalifu, wanavunja sheria.S
Sio mkuu,infact kwenda kwenye Uchaguzi mkuu bila Tume Huru na Katiba Mpya ndio kuwapa free ticket CCM ya kushinda,kwa kuwa itakuwa rahisi sana wao kuiba kura na kutangaza mshindi bila kushinda,kwa kuwa kwa Katiba iliyopo,huwezi kuhoji matokeo mpaka kwanza mshindi atangazwe.Halafu kumbuka kwamba Mkurugenzi wa Halimashauri ndiye msimazi wa Uchaguzi.Katika mazingira hayo ushindi wa any other political affiliation will only be possible after >1000 years.Nawashangaa sana,hivi kwa nini hamuuoni ukweli huu,are you serious?