Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

CCM wanajijua wameshachokwa.Kuwasusia uchaguzi ni kuwawashia "Green Light" waendelee kutawala,ni sawa na kumkabidhi fisi bucha,manake wanajijua kwenye ballot box/sanduku la kura hawatoboi.Mimi nafikiri labda ungeshauri tuingie kwenye uchaguzi kwa kulinda kura zetu.Ni ngumu kushinda uchaguzi wa raisi kwa jinsi mambo yalivyolakini angalau ubungo watakuwepo wawakilishi wa wananchi toka upinzani ambao watawasha moto na wabunge wa CCM waonekane hawana lolote mbele ya wananchi.Ni mwisho wa siku,miaka inavyokwendda,CCM watamwaga manyanga tu.Sababu ya kukosa support ya wananchi walio wengi 🤔
Mkuu tumefanyahivyo Kwa takribani miaka 20 iliyopita.Tangu 1995
 
Tuna vyama Vingi vya kijinga, vyama fulani vina weza vikaambia hatushiriki uchaguzi , chama x kika shiriki kuizinisha maovu ya ccm, mfano piga ua AC wazalendo hawa wezi kuacha kushiriki chaguzi yeyote, hivyo kubaliki uovu wa chamade tawala, vyama kama hivi vipo Vingi, kingine cha John cheyo, hehe
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya msingi waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ilivyo ya kisiasa nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.

Wewe jinsi unavyoandika unaonesha hujawahi kupiga kura hata mara moja.

Mkisusa sisi twatusua kiulaini, twawapenda walao seuse wasokula.
 
Ccm ipi? Fungua video hapa 👇

View: https://youtu.be/UO2Oah8no8Q?si=Kubtkpe0QfyrFW3u
 
Mkuu tumefanyahivyo Kwa takribani miaka 20 iliyopita.Tangu 1995
Jinsi CCM inavyokuwa haikubaliki na wanaingia kutawala kimabavu ndivyo inavyoendelea kuchochea hasira za wananchi.Hao hao wananchi ndio watakaoiondoa hiyo CCM madarakani.Rejea:Utawala wote wa kidikteta Africa na duniani kwa ujumla nini kilitokea baadae?!🤔
 
Wewe jinsi unavyoandika unaonesha hujawahi kupiga kura hata mara moja.

Mkisusa sisi twatusua kiulaini, twawapenda walao seuse wasokula.
Yaani mi-CCM bwana,hamjali kabisa kuhusu wananchi,you only care about power,nadhani it is time for you to go,inatosha.Mkamzushia Magufuli ni dictator,kumbe you wanted him out ili mfanye yenu.Waovu sana.
 
Wewe utakuwa ni li-CCM lazima.Hao unaowanyesha wamenunuliwa kwa hela ya wizi ,hamna kitu,mtu timamu hawezi kulipenda li-CCM.Tusubiri time will tell.

Taarifa tulizonazo kutoka kwa Makarani wa uchaguzi hata hivyo ni clear,CCM wanaiba kura,tena kwa vitisho kutoka kwa watu wa Usalama.Kwa hiyo tukiwa na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi,CCM hawawezi kushinda Uchaguzi,never.Na ndio maana hawataki kabisa Katiba Mpya wala Tume Huru ya Uchaguzi.
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Kususia kwa aina yoyote ile ni kuwaruhusu CCM waendelee kuiharibu nchi yetu. Hiyo siyo njia sahihi kabisa ya kutatua tatizo.
Ni kama umetumwa tu kuja kuwapigia kampeni hao hao CCM.

Hapa usinilaumu, nimejibu tu kufuatana na kichwa cha mada kilivyowekwa.
 
Taarifa tulizonazo kutoka kwa Makarani wa uchaguzi ni clear,CCM wanaiba kura,tena kwa vitisho vya watu wa usalama.Kwa hiyo tukiwa na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi,CCM hawawezi kushinda Uchaguzi.
LOOoh!

Aisee, unanisikitisha sana kwa kweli; kama unaamini uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi", hapo ndipo CCM itashindwa uchaguzi.

Mbona maswala haya hujadiliwa mara nyingi sana humu JF, yaani wewe hata siku moja hujatokea kusoma chochote kuhusu ufinyu wa mambo hayo katika kuizuia CCM isiendelee kuharibu chaguzi zinazofanyika hapa nchini?

Halafu, wakati huo huo unahimiza waTanzania wakasusie uchaguzi, wakati ukijua wazi kuwa hiyo ndiyo njia bora kabisa wanayoitegemea CCM?

Umeshuka toka sayari gani, mkuu 'Mathanzua', ambako habari za CCM na nchi hii hazifiki kabisa? Hata kama ungekuwa umejificha pangoni pasipofikiwa na mwanga, ingewezekana siku moja moja ukasikia habari za hili zimwi (CCM) lililoiteka Tanzania.
 
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.

Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.

Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.

Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.

Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Mkiacha john cheyo momose na profesa Lipumba watagombea saaaaafi kabisa. Na watapata wabunge wengi sana wakuparia misaada kutoka nje ya nchi na maisha yatakwenda kama kawaida.
 
S
Kususia kwa aina yoyote ile ni kuwaruhusu CCM waendelee kuiharibu nchi yetu. Hiyo siyo njia sahihi kabisa ya kutatua tatizo.
Ni kama umetumwa tu kuja kuwapigia kampeni hao hao CCM.

Hapa usinilaumu, nimejibu tu kufuatana na kichwa cha mada kilivyowekwa.
Sio mkuu,infact kwenda kwenye Uchaguzi mkuu bila Tume Huru na Katiba Mpya ndio kuwapa free ticket CCM ya kushinda,kwa kuwa itakuwa rahisi sana wao kuiba kura na kutangaza mshindi bila kushinda,kwa kuwa kwa Katiba iliyopo,huwezi kuhoji matokeo mpaka kwanza mshindi atangazwe.Halafu kumbuka kwamba Mkurugenzi wa Halimashauri ndiye msimazi wa Uchaguzi.Katika mazingira hayo ushindi wa any other political affiliation will only be possible after >1000 years.Nawashangaa sana,hivi kwa nini hamuuoni ukweli huu,are you serious?
 
Mkiacha john cheyo momose na profesa Lipumba watagombea saaaaafi kabisa. Na watapata wabunge wengi sana wakuparia misaada kutoka nje ya nchi na maisha yatakwenda kama kawaida.
Mkuu mimi zizungumzii vyama vya siasa tu,vyama na wananchi wote.I believe if that happens,it will be hard to swallow for CCM.Legitimacy inatoka kwa wananchi,hawajawapa,mtajiwekaje madarakani?Hilo ndilo tunalotaka litokee.
 
S
Sio mkuu,infact kwenda kwenye Uchaguzi mkuu bila Tume Huru na Katiba Mpya ndio kuwapa free ticket CCM ya kushinda,kwa kuwa itakuwa rahisi sana wao kuiba kura na kutangaza mshindi bila kushinda,kwa kuwa kwa Katiba iliyopo,huwezi kuhoji matokeo mpaka kwanza mshindi atangazwe.Halafu kumbuka kwamba Mkurugenzi wa Halimashauri ndiye msimazi wa Uchaguzi.Katika mazingira hayo ushindi wa any other political affiliation will only be possible after >1000 years.Nawashangaa sana,hivi kwa nini hamuuoni ukweli huu,are you serious?
Mkuu, unayosema ni sahihi kabisa, lakini pia nikukumbushe, hata hiyo Katiba Mbovu iliyopo, hakuna mahala popote inaporuhusu uvunjifu wa sheria za uchaguzi. CCM wanachofanya ni kufanya uhalifu, wanavunja sheria.

Haya, unasema ukasusie uchaguzi? CCM watakosa watu milioni moja au mbili tu wa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura?
Tueleze ni namna gani utawazuia hawa watu; ukifanya hivyo, hapo nitaanza kukusikiliza kwa makini.
 
Back
Top Bottom