Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
Sasa ili kufikia hilo bosi wangu lazima watu wetu wawe na:Mkuu mimi zizungumzii vyama vya siasa tu,vyama na wananchi wote.I believe if that happens,it will be hard to swallow for CCM.Legitimacy inatoka kwa wananchi,hawajawapa,mtajiwekaje madarakani?Hilo ndilo tunalotaka litokee.
Wataenda kupiga kura wale wenye hali nzuri ya maisha tu.Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Imeruhusu kiaujanja ujanja sema wewe ndio huelewi.Mkuu, unayosema ni sahihi kabisa, lakini pia nikukumbushe, hata hiyo Katiba Mbovu iliyopo, hakuna mahala popote inaporuhusu uvunjifu wa sheria za uchaguzi. CCM wanachofanya ni kufanya uhalifu, wanavunja sheria.
1.Tukiwa na Tume Huru,itakuwa vigumu CCM kuiba kura kwa kuwa hakutakuwa na vijeba vya CCM.CCM mbinu yao kubwa ya kushinda Uchaguzi ni kuiba kura.LOOoh!
Aisee, unanisikitisha sana kwa kweli; kama unaamini uwepo wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi", hapo ndipo CCM itashindwa uchaguzi.
Mbona maswala haya hujadiliwa mara nyingi sana humu JF, yaani wewe hata siku moja hujatokea kusoma chochote kuhusu ufinyu wa mambo hayo katika kuizuia CCM isiendelee kuharibu chaguzi zinazofanyika hapa nchini?
Halafu, wakati huo huo unahimiza waTanzania wakasusie uchaguzi, wakati ukijua wazi kuwa hiyo ndiyo njia bora kabisa wanayoitegemea CCM?
Umeshuka toka sayari gani, mkuu 'Mathanzua', ambako habari za CCM na nchi hii hazifiki kabisa? Hata kama ungekuwa umejificha pangoni pasipofikiwa na mwanga, ingewezekana siku moja moja ukasikia habari za hili zimwi (CCM) lililoiteka Tanzania.
Wewe unayeganga ganga ndo utakuwawa kwanza kupiga kura kwa kuwa huna nguo za kutosha utapigwa t.shirt moja ya kijani na utawahi fasta kupiga kura kiulaini.Wataenda kupiga kura wale wenye hali nzuri ya maisha tu.
Ila sisi tunaoganga ganga aisee tushirikiane tusiende
Hata wenye h.ali nzuri ya maisha wengi wanaichukia CCM mkuu,labda wale ambao kula yao inategemea uwepo wa CCM madarakani.Wataenda kupiga kura wale wenye hali nzuri ya maisha tu.
Ila sisi tunaoganga ganga aisee tushirikiane tusiende
Labda wao kwa sababu wanaifaidiHata wenye h.ali nzuri ya maisha wengi wanaichukia CCM mkuu,labda wale ambao kula yao inategemea uwepo wa CCM madarakani.
SAWA.Imeruhusu kiaujanja ujanja sema wewe ndio huelewi.
Inapompa mamlaka Rais kuteua msimamizi wa uchaguzi yeyote anayemtaka huku na yeye akiwa bado ni mgombea ujua Katiba Ni Mbovu sana na inahimiza maovu.
Haya unayoyaeleza hapa ni kuwa Katiba Mpya, itatekelezwa kwa usahihi kabisa na vyombo vyote vilivyomo serikalini, hali ambayo tunajua siyo kweli chini ya CCM.1.Tukiwa na Tume Huru,itakuwa vigumu CCM kuiba kura kwa kuwa hakutakuwa na vijeba vya CCM.CCM mbinu yao kubwa ya kushinda Uchaguzi ni kuiba kura.
2.Katiba tuliyonayo inafanya iwe vigumu matokeo kuhojiwa.Hii ni mbinu pia wanayoitumia kushinda uchaguzi.
3.Times have changed,2015 sio sawa na 2025.
Kw akuwa kuna loophole kwamba Mteule wa Rais hawajibiki kwa mtu yeyote mpaka kwa Rais mwenyewe tu so wateule hawa wanavunja sheria sababu wana Kinga moja kwa moja kutoka kwa mteuaji.SAWA.
Tukubali "imeruhusu kiujanja ujanja", kupitia kwenye kumpa rais madaraka makubwa; lakini kumbuka haimpi rais ruhusa ya kuvunja sheria, na bado anavunja sheria.
Sasa nieleze, hiyo "Mpya", ambayo na mimi naililia sana, itazuia vipi "uvunjifu wa sheria" toka kwa hawa hawa wasioheshimu hata hii iliyopo sasa.
Kumnyima rais uteuzi pekee, hakuzuii kuvunja sheria kunakofanywa siku zote na CCM.
Hakuna hata moja kati ya uliyoyaeleza hapa ninalokataa, umeandika ukweli mtupu hapo.Kw akuwa kuna loophole kwamba Mteule wa Rais hawajibiki kwa mtu yeyote mpaka kwa Rais mwenyewe tu so wateule hawa wanavunja sheria sababu wana Kinga moja kwa moja kutoka kwa mteuaji.
Sasa basi ikiwa Mahakama mamlaka yake haitoki moja kwa moja kwa rais pekee akina Makonda et al wasingekuwa wanadharau wito wa mahakama na kufanya wanayotaka.
Huo ni mfano tu ktk mingi.
Njia tunazopata viongozi wengi ni kwa njia ya Uchaguzi sasa tazama uovu na uvunjaji sheria unaofanyika wakati wa Uchaguzi huku aliyewatuma wafanye hivyo ni Mgombea ambaye bado yuko madarakani na ndiye kawateua hao wavunja sheria ili aliyewateua wamlinde kwenye Ushindi wa mezani.
Hizi loopholes ndio ubovu wa katiba yenyewe.
Tumeona Ripoti ya CAG ilivyoivua nguo serikali. Lakini Dr Tulia Ackson kwa kuogopa kuaibisha Mama akaamua kuitupilia mbali yasije kumkuta Yale ya Ndugai....
Hili nalo nila kushangaza kwa kweliNchi hii haiwezi kukosa watu laki tano waliotayari kulinda sheria ili uhalifu usifanywe dhidi ya wananchi
Watu walipiga sana tu 2015 na 2020. Unakumbuka Internet ilizimwa. Vituo binafsi vya kuhesabu kula vilivamiwa na watu kibao waliumia.1. Mimi nahimiza watu wengi sana wanaolitakia mema taifa hili wajitokeze kwa wingi sana wakati wa kupiga kura, na wapige kura za kuikataa CCM.
Sasa hapo jambazi ninani hasa mkuu 'Bush Dokta'.Watu walipiga sana tu 2015 na 2020. Unakumbuka Internet ilizimwa. Vituo binafsi vya kuhesabu kula vilivamiwa na watu kibao waliumia.
All that to threaten watu wenye mapenzi mema wasithubutu kuji organize
Ni kushindwa tu namna ya kujipanga. Watu hao wapo mamilioni kadhaa ndani ya nchi hii kwa sasa hivi.Hili nalo nila kushangaza kwa kweli
SahiiiNi miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana waliyotuletea, isipokuwa kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa.
Kila serikali iliyoingia madarakani ilileta usanii wa kisiasa na kiuchumi na hatimaye kuturudisha nyuma decades.Wanayojisifia kwamba ni maendeleo si lolote kabisa ukilinganisha na rasilimali nyingi tulizo nazo. Tuamke Watanzania.
Comrade Magufuli katika awamu yake moja alijitahitahidi kubadilisha taswira ya Tanzania kwa kutuletea maendeleo kiasi fulani, lakini juhudi zake zilifishwa prematurely, inasikitisha sana.
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu, hatuna jinsi yeyote ambayo kama Watanzania tunaweza kujinasua kwenye mkwamo wa kimaendeleo na kisiasa tulio nao sasa.Katiba haiheshimiwi kabisa na sioni uwezekano wa Bunge au hata wana siasa kutusaidia.
Mwito wangu kama Mtanzania ni huu, kama mpaka 2025 tusipokuwa na Katiba mpya, wala Tume Huru ya Uchaguzi, siku ya uchaguzi wote tubaki nyumbani.Sisi wananchi ndio tunaowapa wanasiasa legitimacy ya kutawala, kama wasipotupa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi tubaki nyumbani,simply tuwanyime legitimacy ya kututawala.It is now or never, tushirikiane wote.
Wewe ni wazi ni li-CCM.Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi unakwenda kupiga kura ya nini mkuu,kwa kuwa mfumo huo ndio ulio-wawezesha CCM kubaki madarakani miaka yote.Ni ujinga kufanya jambo hilo hilo tena na tena kwa njia hiyo, halafu utegemee matokeo tofauti.Hapana,nakuomba usipotoshe Watanzania.Hatuwezi kuirudisha serikali kwa Watanzania kwa Tume iliyoteuliwa na Chama na Serikali hiyo hiyo tunayotaka kuitoa madarakani na wasimaziKwa mtazamo huu, wa kususia, upo uwezekano kuna shida pahali. Na pahali hapo, sio kwenye Katiba,sio kwenye Sheria, bali kwa Mazuzu.
Naamini huu sio wakati wa Kususia Uchaguzi. Huu, nadhani, ndio wakati muafaka wa kuenda kupiga kura. Huu ni wakati wa mapinduzi.
Kwa heshima zote kwa Bwana Mathanzua , siungi mkono hoja.