Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Wewe ni wazi ni li CCM.Naomba nirudie,huwezi kufanya jambo hilo hilo kwa njia hiyo halafu utegemee matokeo tofauti,it is stupid.What you have suggested ndiyo tuliyofanya miaka yote,kwa hiyo matokeo yatakuwa Yale Yale.Wizi wa kura na kutoweza kuhoji matokeo mahakamani.Afterall mahakama ni za CCM na huwezi kuhoji matokeo mpaka yatangazwe.Hizo zote ni njia za kujihakishia ushindi.

Ya tatu nimeitaja kwa kuwa wananchi wa 2025 sio wa 2015.Wananchi wa 2025 wanaifahamu vizuri CCM, kwamba ni Chama kiovu hell bent kulinda maslahi ya watu wachache na kuendeleza kuwakandamiza by any means possible.For me enough is enough,CCM must go.
 
Ngumu sana hiyo.
Wala sio ngumu,this is the easiest method,kuwanyima haki ya kututawala kwa kutowapigia kura.Kuna ugumu gani wewe kubaki nyumbani kwako na wanao siku ya uchaguzi.Watanzania lazima tuamke,let us do something for our freedom.Miaka 63 ya Uhuru literally nothing in terms of development,ni usanii,ngonjera na sarakasi tu ,no haikubaliki.
 
Watu mnaacha kuhangaika na wahusika kufanya miradi ya wananchi kwa 100% zenye faida, badala yake mnahangaika na chama na katiba, chama hata kije Cha namna gani lakini kama ni cha waTanzania hawa hawa hakuna lolote la tofauti mtaona, tena bado mtarejea kuwakumbuka tu hao CCM, katiba mnaongelea katiba , hulka ya mTanzania inabadilishwa na katiba? Kweni hata katiba iliyopo inafuatwa?

Acheni usanii wa kuwahadaa watu ili mpenye kwenye viuchaguzi muende kupiga hela, ninyi ndo wale wale tu tena ndo wabaya kuliko
 
Obviously wewe ni li-CCM ndio maana unaipenda Status Quo iendelee.Lakini unataka CCM iendelee madarakani mpaka lini na uovu wote huu.We want change kwa kuwa tunataka cake ya Taifa kila mtu apate,sio watu wachache by ndugunization and urafikinization kama ilivyo sasa and that is possible.Na kama it is possible,why don't we aspire for that,which is obviously a better alternative?

Mkuu niseme hivi,ni ujinga kung'ang'ania an inferior alternative kama kuna a better alternative,it is infact dumb.
 
Sisi bado tunaitaka CCM wewe kama hutaki hama nchi
Kwani CCM ndio wenye
hati miliki ya Tanzania?!This is frankly a very dumb and stupid comment,no wonder CCM ipo kama ilivyo.So mnataka kuwatawala Watanzania kwa nguvu,which of course you are doing already.Hapana haikubaliki,you people have to go.

Yaani mmewarudisha nyuma Watanzania kiasi hiki bado mnang'ang'ania tu.Ufisadi Moto, Ndugunization na Urafikinization(Mwitongo)imejaa;Elimu mmeharibu;Afya mmeharibu,watu kila sehemu ni wagonjwa;Kilimo mmeharibu;Uchumi mmeharibu;Mikataba mibovu kila kukiucha(the most recent DP World);Umeme shida;Maji shida,watu wanatumia maji ya madimbwi ya kunyweshea Ng'ombe,miaka sitini na tatu baada ya Uhuru,simply everything is in disarray.Hapana ondokeni inatosha,hatuwataki tena,achieni wengine,you have miserably failed Tanzanians.
 
CCM Wana vyama mchongo vingi tu, ukisusia vile mchongo vitashiriki na bado uchaguzi utaonekana ni wa vyama vingi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na kina Mandela, Nyerere, Kenyatta, n.k. wangekuwa na mawazo kama yako, tusingejikomboa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Zipo njia nyingine nyingi za kupinga sera za CCM, ila kususia upigaji kura sio njia sahihi, respectfuly.
 
Ina maana sisi hatuwezi kua na jambo letu wenyewe zuri ambalo wengine wataliiga hadi tujikosoe kutipia kenya.kwahiyo kama kenya alikosea na sisi tukosee?.Unasema viongozi hawana uchungu alafu unaona katiba bora sio suluhisho,je hao wenye uchungu watazaliwa lini ili waje waongoze?.Viongozi wanatakiwa waongozwe na matakwa yaliyowekwa na wananchi kupitia sheria na katiba.Sio utashi wao.Tukiishi kwa style hiyo nchi haiwezi kwenda mbele.
 
Siasa iko kila mahali,hayo maendeleo utayafanyaje kama mambo ya msingi yakufanywa na serikali hayafanywi kwa usahihi.Ata hivyo sio watu wote wana kiu ya mabadiliko kwahiyo inawezekana wewe ni kundi ilo ndo maana unaogopa virungu.
 
Hakuna kitakachobadiika kama ulivosema watu ni wale wale
 
Kwa hiyo kwa akili zako unaona ni sawa tuendelee kua na katiba isiyofuatwa miaka nenda rudi.Kama wewe huna akili zakutaka nchi iwe na mambo mazuri waachie wenye hizo akili wafanye.
 
CCM Wana vyama mchongo vingi tu, ukisusia vile mchongo vitashiriki na bado uchaguzi utaonekana ni wa vyama vingi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hili jambo ni kata fitina.Ni hivii,yeyote atakayeshiriki Uchaguzi 2025 bila kuwepo Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, tunajua si mwenzetu.It is as simple as that.
 
Mh ndugu yangu ccm unawajua vizuri? Tukifanya hivyo watafanya sherehe kubwa kwa kupita bila kupingwa

Na watatupongeza wanainchi kwa kuwa wazarendo kwa ccm😅😅😅
 
Hakuna kitakachobadiika kama ulivosema watu ni wale wale
Watu wote tukiwa na mawazo yakusema hakuna kitakachobadilika ata haya maendeleo ya dunia na teknolojia yaliyopo sasa duniani yasingekuwepo.Mabadiliko hayaji tu from no where.Lazima kuwe na watu wanaofikiri tofauti badala ya kuridhika.
 
Mh ndugu yangu ccm unawajua vizuri? Tukifanya hivyo watafanya sherehe kubwa kwa kupita bila kupingwa

Na watatupongeza wanainchi kwa kuwa wazarendo kwa ccm[emoji28][emoji28][emoji28]
Lazima washerehekee kwasababu ela zakuwahonga viongozi wa mitaa na vijiji zitakua chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…