Wito kwa watanzania wote: Ili CCM na serikali zake wajue hatuwataki, 2025 wote tususie uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi

Zipo njia nyingine nyingi za kupinga sera za CCM, ila kususia upigaji kura sio njia sahihi, respectfuly.
Kwa hiyo kufanya jambo hilo hilo kila mwaka ukitegemea matokeo tofauti ndio njia bora!?Yaani wewe poyoyo kweli kweli aisee.Kaa pembeni hatuhitaji watu wenye akili finyu kama zako mkuu.
 
Mh ndugu yangu ccm unawajua vizuri? Tukifanya hivyo watafanya sherehe kubwa kwa kupita bila kupingwa

Na watatupongeza wanainchi kwa kuwa wazarendo kwa ccm😅😅😅
Si kweli,this is new.Hukuwapigia kura mandate ya kutawala watapata wapi?Wanaiba kura kwa kura zipo za kuiba.Vituo havina watu,everybody sees it,jumuiya ya kimataifa inaona hamna watu,watatangazeje kwamba wameshinda?Kwanza tukio lenyewe litawa-aibisha kimataifa.Acheni ujinga,come 2025 bila Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi,tusipige kura.Kura yako ndiyo wanayotumia kukuibia kura,usiwape.
 
Hakuna kitakachobadiika kama ulivosema watu ni wale wale
Si kweli,Watanzania wa leo sio wa 2015.Usitukatishe tamaa we can.Na watu kama ninyi tuna-anza kuwata-tag,tunajua si mwenzetu.
 
Kwa hiyo kufanya jambo hilo hilo kila mwaka ukitegemea matokeo tofauti ndio njia bora!?Yaani wewe poyoyo kweli kweli aisee.Kaa pembeni hatuhitaji watu wenye akili finyu kama zako mkuu.
Umesusa?
Aloo, eti katiba ndio inayopiga Kura?

Ukumbuke lazima uwe na watu ambao watakuwa na nguvu za kuchochea mabadiko ya sheria na kanuni zingine za Uchaguzi Bungeni. CHADEMA walisusa kwenye Bunge la Katiba, CHADEMA walisusia Serikali, Walifikia wapi? CHADEMA wamewasusia wabunge wake, imagine hizo shilingi ambazo wangeweza kushikilia kule bungeni, halafu unakuja kuniita poyoyo?? CHADEMA utawaitaje?

Kasuse basi.
 
Acha ujinga,wanasiasa,vyama vya siasa na Bunge vimetuangusha miaka yote,we are now taking matters on our own hands.Tumegundua kwamba kumbe vyombo ambavyo tulidhani vingetusaidia kupata haki na maendeleo,ndivyo vinavyotuhujumu,inauma sana.
 
Bado CHADEMA hamjawa na uwezo wa kuongoza Tanzania. CCM imebeba matumaini ya watanzania. Tutaichagua tena kwa chaguzi nyingi zijazo. CHADEMA kijengeni chama kwanza ili angalau mwaka 2155 mpate ridhaa ya wananchi kuongoza.
 
Mimi sio CHADEMA,usinidhalilishe mkuu.Siwezi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa kwa kuwa I know what they stand for.
 
Piga kelele uwezavyo hakuna mbadala wa ccm nchi hii mpaka sasa.
 
labda KILIMANJARO na PEMBA
 
We fanya mambo yako mkuu!!

Kura hazichagui kiongozi bali kuhalalisha kiongozi aliekwisha chaguliwa tayari na mamlaka ya nchi!!

Hata zisipopigwa na wananchi zitatengenezwa na mfumo!!

Ishi maisha yako Mkuu!achana na hayo MAMBO!!
 
Afrika hakuna chaguzi bali kuna uchafuzi na uhalarishaji wa viongozi kupitia masanduku ya kura,viongozi hupachikwa na wale wawatakao kwa manufaa yao na yawachache wenye vina saba nao.

Jambo hili litaisha siku si nyingi,kizazi kinacho kuja kitafanya mapinduzi makubwa ya kisiasa na kiuchumi
 
We fanya mambo yako mkuu!!

Kura hazichagui kiongozi bali kuhalalisha kiongozi aliekwisha chaguliwa tayari na mamlaka ya nchi!!

Hata zisipopigwa na wananchi zitatengenezwa na mfumo!!

Ishi maisha yako Mkuu!achana na hayo MAMBO!!
Acha ujinga wewe,an incompetent government affects me and my generation,kwa hiyo lazima nihakikishe inakuwepo.

Tungekuwa na mawazo mgando kama yako tusingepata Uhuru mkuu,kaa pembeni usitukatishe tamaa.Inaelekea kwanza wewe ni li-CCM.
 
labda KILIMANJARO na PEMBA
Very stupid comment.So mnatumia ujinga wa watu kuwatawala.This shows how crooked and evil you people in CCM are. and hence the need to remove you from power by all possible .
 
Kama sio CHADEMA wewe ni mnafiki na ndumilakuwili.
I repeat, mmi siwezi kuwa mwanachama chochote cha siasa kwa kuwa sifanyagi mambo hewa.I am above vitu hewa kama politics.

Na kwa nini unasema mimi ni mnafiki,just be frank.
 
Very stupid comment.So mnatumia ujinga wa watu kuwatawala.This shows how crooked and evil you people in CCM are. and hence the need to remove you from power by all possible .
Unaona Kilimanjaro na Pemba ndiko watu wake siyo wajinga? Mbona wanaongoza kwa utapiamlo
 
Unaona Kilimanjaro na Pemba ndiko watu wake siyo wajinga? Mbona wanaongoza kwa utapiamlo
Again,this is a stupid comment.Tanzania yote inahitaji kutolewa kwenye makucha ya "mkoloni" CCM.Afterall ni aibu anywhere in Tanzania leo kuwa na utapia mlo,63 years after independence.It just shows how miserably CCM has failed Tanzanians.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…