Kwani CCM ndio wenye
hati miliki ya Tanzania?!This is frankly a very dumb and stupid comment,no wonder CCM ipo kama ilivyo.So mnataka kuwatawala Watanzania kwa nguvu,which of course you are doing already.Hapana haikubaliki,you people have to go.
Yaani mmewarudisha nyuma Watanzania kiasi hiki bado mnang'ang'ania tu.Ufisadi Moto, Ndugunization na Urafikinization(Mwitongo)imejaa;Elimu mmeharibu;Afya mmeharibu,watu kila sehemu ni wagonjwa;Kilimo mmeharibu;Uchumi mmeharibu;Mikataba mibovu kila kukiucha(the most recent DP World);Umeme shida;Maji shida,watu wanatumia maji ya madimbwi ya kunyweshea Ng'ombe,miaka sitini na tatu baada ya Uhuru,simply everything is in disarray.Hapana ondokeni inatosha,hatuwataki tena,achieni wengine,you have miserably failed Tanzanians.