Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi.
Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe ufanyike upya katika majimbo hayo. Pia, CHADEMA harakisheni kufungua kesi kupinga utangazwaji wa matokeo kama alivyofanya Lamwai mwaka 1995 maana hizi ni hujuma za makusudi.
Kituo changu hapa Babati tulizuia zoezi hadi barua zije kutoka kwa DED na Mawakala kuruhusiwa kuingia.