Uchaguzi 2020 Wito: Majimbo yaliyozuia Mawakala kuingia vituoni kwa kwa kukosa Barua ya Utambulisho yarudie zoezi na DED awajibishwe

Uchaguzi 2020 Wito: Majimbo yaliyozuia Mawakala kuingia vituoni kwa kwa kukosa Barua ya Utambulisho yarudie zoezi na DED awajibishwe

Kwa hiyo na wa ccm pia hawajui kwamba barua zinatakiwa ziletwe? Jiongeze mkuu hacha kushikiwa akili hizo....unazani barua zinatoka kwa mwenyekiti wa chama au?
JIONGEZE WEWE MZEE, WAKAFUATE BASI HATA KAMA ZIPO KWA MKURUGENZI WA UCHAGUZI SI UNATAKA HAKI YAKO?
 
MUONGOZI WA TUME YA UCHAGUZI UNASEMA KUWA KUWEPO AU KUTOKUWEPO KWA WAKALA HAKUWEZI KUZUIA KUFANYIKA ZOEZI LA KUPIGA KURA.
 
Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi.

Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe ufanyike upya katika majimbo hayo. Pia CHADEMA harakisheni kufungua kesi kupinga utangazwaji wa matokeo kama alivyofanya Lamwai mwaka 1995 maana hizi ni hujuma za makusudi.

Kituo changu hapa Babati tulizuia zoezi hadi barua zije kutoka kwa DED na mawakala kuruhusiwa kuingia.
Hao mawakara walikosaje barua?
 
Sehemu ambapo hakuna wakala uchaguzi urudiwe maana siyo kosa la chama husika Ila ni kosa la DED hata Jana nimeona Mahera akiwaapisha wasimamizi wa tume sasa kwanini sehemu zingine walete huo uvunjifu wa amani na sheria hao DED uchaguzi urudiwe kwa gharama zao walizopewa hongo na hao wagombea ili wachafue uchaguzi.
 
Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi.

Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe ufanyike upya katika majimbo hayo. Pia CHADEMA harakisheni kufungua kesi kupinga utangazwaji wa matokeo kama alivyofanya Lamwai mwaka 1995 maana hizi ni hujuma za makusudi.

Kituo changu hapa Babati tulizuia zoezi hadi barua zije kutoka kwa DED na Mawakala kuruhusiwa kuingia.
Hao ma DED ni wa kusaka huko mitaani na kuwakata shingo tu hamna namna!
 
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu Polisi akiwambia Mawakala wa CHADEMA wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
Mliopigia Jimbo la Ubungo Ni kituo changu tu ndio hakina wakala au vituo vyote?
 
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu Polisi akiwambia Mawakala wa CHADEMA wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..

Weka picha au kideo tuone

💚💛💚💛💚
 
.....Ila inasambaza taarifa kwa uwazi jinsi zoezi la ukwepuaji wa masanduku ya kura yanavyoibwa na maharamia wa CCM
Ifike tu mahali wenye wasiwasi mtambue kua imani ya wananchi kwa wasiokua na wasiwasi ni kubwa kwasababu ya maendeleo makubwa yaliyofikiwa. Siku zote mfia majini haachi kutapatapa
 
Mtaweza kujisimamia wapi wakati watu wenyewe ndio hawa akina Magufuli wasiojua hata Kiswahili.

Mnahitaji wazungu waje wawaelekeze cha kufanya!
 
Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200525_004117.jpg
    Screenshot_20200525_004117.jpg
    89 KB · Views: 2
Back
Top Bottom