Uchaguzi 2020 Wito: Majimbo yaliyozuia Mawakala kuingia vituoni kwa kwa kukosa Barua ya Utambulisho yarudie zoezi na DED awajibishwe

Uchaguzi 2020 Wito: Majimbo yaliyozuia Mawakala kuingia vituoni kwa kwa kukosa Barua ya Utambulisho yarudie zoezi na DED awajibishwe

Ni muhimu sana mawakala kuwepo. Kuruhusu Demokrasia
 
Nani ameripoti, acha kukurupuka. Tulia utoe taarifa sahihi inayojitoshekeza. Kwanini wakala aende kituoni bila barua? Msitafute visingizio
Kwa nini watufungie njia rahisi za kupeana taarifa? Uoga wa umbwa koko na chupi zenu vichwani
 
Hili limefanyika sana jimbo la Kawe kwa Halima Mdee. Mbaya zaidi amekuta na maboksi ya kura 1000 zilizopigwa tayari. Akapinga huu udhalimu, polisi wakamkamata.
Sasa tunasema lolote liwe. Tunakiwasha kweli jimbo la Kawe
 
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu polisi akiwambia mawakala wa chadema wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
Haitoshi kuthibitisha kuwa wamezuiwa, wengine wameacha kwa makusudi yao
 
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu polisi akiwambia mawakala wa chadema wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
Polisi??!!
 
CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA ni CHADEMA kila kona ya nchi, mitandaoni, majukwaani na sasa kwenye vituo vya kupiga kura. Ujumbe wao ni mmoja tu KULALAMIKA. Wakipata uongozi pia walalamishi! Aina gani ya binadamu hawa? Duh!
 
Mwenyewe nilikua kituoni nimeshuhudia askari anamfukuza wakala wa chadema akalete barua wakati waliapishwa huu uhuni hauvumiliki MTU kawaahidi barua kuwapa Leo afu kasepa hapatika hii so sasa sasa cha kujiuliza wakala wa ccm kapata wapi barua wakati Jana wrote hawakupea inauma sana afu waseme chadema wanafujo kweli
Kick their asses. The assholes.
 
Uzembe unaweza kuwa zaidi ya figisu mkuu
Wanachama makini hupewa mafunzo na chama sio kuwaandaa kwa zimamoto waliyofanya
Halafu vile CHADEMA kila mtu anakula kwenye nafasi yake unaweza kuta hao Mawakala walidhamiria
 
Chama Cha Mapumziko wanajinasibu wanakubalika ! Mitandao wanaifanyia jam ili watekeleze dhulma vizuri halafu waje waseme wameshinda kwa kishindo !
 
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu polisi akiwambia mawakala wa chadema wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
VIZURI, WAJIBU WA WAKALA NI KULINDA MASLAHI YA CHAMA CHAKE SASA KAMA CHAMA CHAKE HAWAJALETA BARUA PALE KITUONI MIMI MSIMAMIZI MKUU WA KITUO NITAMTAMBUAJE HUYU KAMA WAKALA WA HASHIM RUNGWE CHAUMMA?
 
VIZURI, WAJIBU WA WAKALA NI KULINDA MASLAHI YA CHAMA CHAKE SASA KAMA CHAMA CHAKE HAWAJALETA BARUA PALE KITUONI MIMI MSIMAMIZI MKUU WA KITUO NITAMTAMBUAJE HUYU KAMA WAKALA WA HASHIM RUNGWE CHAUMMA?
Kwa hiyo na wa ccm pia hawajui kwamba barua zinatakiwa ziletwe? Jiongeze mkuu hacha kushikiwa akili hizo....unazani barua zinatoka kwa mwenyekiti wa chama au?
 
Back
Top Bottom