mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Kama huna ushahidi, unaleta hapa ili tukusaidie nini?Wewe umekuwa mahakama hadi upewe ushahidi?
Hata huku Dar mawakala wamenyimwa barua za utambulisho nchi hii Ina usenge mwingi Sana haina haki, ndo shida ya kuwa na viongozi vichwa nazi, hawajali wananchi wao
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu polisi akiwambia mawakala wa chadema wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
Tumeshiriki huu uchaguzi katika mazingira haya kwani bila kushiriki, tusingepata haki/uhalali wa kuingia mabarabarani.
Tutafika wanakotaka tufike
Hii yote wanataka kumfurahisha diktetaMwenyewe nilikua kituoni nimeshuhudia askari anamfukuza wakala wa chadema akalete barua wakati waliapishwa huu uhuni hauvumiliki MTU kawaahidi barua kuwapa Leo afu kasepa hapatika hii so sasa sasa cha kujiuliza wakala wa ccm kapata wapi barua wakati Jana wrote hawakupea inauma sana afu waseme chadema wanafujo kweli
Pia kupinga bila ushahid ni upumbavu.. mim nipo tarime ni kweliMadai yasiyokuwa na Ushahidi ni Uzushi
Hata kupita bila kupingwa mmesababisha kwa kujiona mnajua sana matokeo yake ndio haya. Sisiem ina watu wenye akili nying sana,,subri dawa iwaingie vzrMwenyewe nilikua kituoni nimeshuhudia askari anamfukuza wakala wa chadema akalete barua wakati waliapishwa huu uhuni hauvumiliki MTU kawaahidi barua kuwapa Leo afu kasepa hapatika hii so sasa sasa cha kujiuliza wakala wa ccm kapata wapi barua wakati Jana wrote hawakupea inauma sana afu waseme chadema wanafujo kweli
Kma hujui hata hili wewe ni kilaza....Barua ya utambulisho inatoka wapi?
Mkuu sijawahi na sitawahi OMBA mtu aina LISSU awe na wadhifa kama RAISI kamwe.Madai yasiyokuwa na Ushahidi ni Uzushi