Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
JIONGEZE WEWE MZEE, WAKAFUATE BASI HATA KAMA ZIPO KWA MKURUGENZI WA UCHAGUZI SI UNATAKA HAKI YAKO?Kwa hiyo na wa ccm pia hawajui kwamba barua zinatakiwa ziletwe? Jiongeze mkuu hacha kushikiwa akili hizo....unazani barua zinatoka kwa mwenyekiti wa chama au?
Nimechagua kukupuuza...!JIONGEZE WEWE MZEE, WAKAFUATE BASI HATA KAMA ZIPO KWA MKURUGENZI WA UCHAGUZI SI UNATAKA HAKI YAKO?
NIMEKUJIBU KWA KUWA KUKUKALIA KIMYA SIO UUNGWANA, JIFUNZE USIISHI KWA MAZOEA BADILIKA KAMA UPEPONimechagua kukupuuza...!
Hao mawakara walikosaje barua?Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi.
Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe ufanyike upya katika majimbo hayo. Pia CHADEMA harakisheni kufungua kesi kupinga utangazwaji wa matokeo kama alivyofanya Lamwai mwaka 1995 maana hizi ni hujuma za makusudi.
Kituo changu hapa Babati tulizuia zoezi hadi barua zije kutoka kwa DED na mawakala kuruhusiwa kuingia.
.....Ila inasambaza taarifa kwa uwazi jinsi zoezi la ukwepuaji wa masanduku ya kura yanavyoibwa na maharamia wa CCMMitandao haipigi kura
Hao ma DED ni wa kusaka huko mitaani na kuwakata shingo tu hamna namna!Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi.
Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe ufanyike upya katika majimbo hayo. Pia CHADEMA harakisheni kufungua kesi kupinga utangazwaji wa matokeo kama alivyofanya Lamwai mwaka 1995 maana hizi ni hujuma za makusudi.
Kituo changu hapa Babati tulizuia zoezi hadi barua zije kutoka kwa DED na Mawakala kuruhusiwa kuingia.
Mliopigia Jimbo la Ubungo Ni kituo changu tu ndio hakina wakala au vituo vyote?Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu Polisi akiwambia Mawakala wa CHADEMA wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
Kabisa yaaniMadai yasiyokuwa na Ushahidi ni Uzushi
Mimi shahidi...nimepiga kura bila wakala wa chama chochotee kuwepo ndani....nimesikia kwa masikio yangu Polisi akiwambia Mawakala wa CHADEMA wakalete barua za utambulisho...Nimeumia but nimepiga kura yangu nikasepa zangu..
Ifike tu mahali wenye wasiwasi mtambue kua imani ya wananchi kwa wasiokua na wasiwasi ni kubwa kwasababu ya maendeleo makubwa yaliyofikiwa. Siku zote mfia majini haachi kutapatapa.....Ila inasambaza taarifa kwa uwazi jinsi zoezi la ukwepuaji wa masanduku ya kura yanavyoibwa na maharamia wa CCM
Mtaweza kujisimamia wapi wakati watu wenyewe ndio hawa akina Magufuli wasiojua hata Kiswahili.
Mnahitaji wazungu waje wawaelekeze cha kufanya!
Ushahidi upi unautaka? Nyie ndio wale wake zenu wanaliwa mkiambiwa mnafoka eehhe sitaki mambo ya umbea.Madai yasiyokuwa na Ushahidi ni Uzushi