Wito: Tanzania ivunje uhusiano na Angola kwa kuzuia viongozi wa Vyama vya siasa akiwemo Makamu wa Rais wa Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.

Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.

UBAYA UBWELA

=============

Screenshot_2025-03-13-19-25-38-1.png
Screenshot_2025-03-13-19-27-42-1.png
Screenshot_2025-03-13-19-28-01-1.png
 
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.

Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.

UBAYA UBWELA
Mkuu unafurahisha sana 🤣🤣🤣
 
Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.

Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.

UBAYA UBWELA
Uhusiano wa Tanzania na Angola is just "ploy"... Hakuna ambacho uhusiano huu unafaidisha upande wowote.... uhusiano huu wa Augustino na Nyerere uliwafaidisha Warusi na Wachina mpaka leo... Hii ni Kwaresima
 
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Angola wamefanya sawa tu kuwatimua vibaraka wa itikadi za kiliberali kukutana Angola. Kuna DA chama cha makaburu, kuna huyu Mondlane aliyepata asilimia 24 ya kura uchaguzi wa juzi Mdumbiji. Huyu eti anadai ndiye mshindi na anahimiza maandamano ya umwagaji damu dhidi ya Frelimo. Kumetokea uharibifu sana wa mali Msumbiji.
 
Uhusiano wa Tanzania na Angola is just "ploy"... Hakuna ambacho uhusiano huu unafaidisha upande wowote.... uhusiano huu wa Augustino na Nyerere uliwafaidisha Warusi na Wachina mpaka leo... Hii ni Kwaresima
Kwani Deborah anatokea wapi? Labor migration nao ni uhusiano mzuri.
 
Back
Top Bottom