Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hiyo asilimia 24 ndiyo matokeo yake ya kweli? Hizi nchi zetu za Africa zisikie kwa mbali tu!Angola wamefanya sawa tu kuwatimua vibaraka wa itikadi za kiliberali kukutana Angola. Kuna DA chama cha makaburu, kuna huyu Mondlane aliyepata asilimia 24 ya kura uchaguzi wa juzi Mdumbiji. Huyu eti anadai ndiye mshindi na anahimiza maandamano ya umwagaji damu dhidi ya Frelimo. Kumetokea uharibifu sana wa mali Msumbiji.