Wito: Tanzania ivunje uhusiano na Angola kwa kuzuia viongozi wa Vyama vya siasa akiwemo Makamu wa Rais wa Zanzibar

Wito: Tanzania ivunje uhusiano na Angola kwa kuzuia viongozi wa Vyama vya siasa akiwemo Makamu wa Rais wa Zanzibar

Kwa jinsi ninavyofahamu watanzania hatuhitaji kuwa na visa tunapotembelea Angola kwa lengo la utalii. Wanatoa visa ya siku 30 kwa ajili hiyo. Lakini kama unatembelea Angola kwa lengo lingine kama kazi masomo utafiti ni LAZIMA uwe na visa imegongwa kwenye pasi ya kusafiria, vinginevyo utarudishwa kwa Airlines iliyozembea kuhakikisha unatua Angola ukiwa na visa..... Nini kilitokea kwenye ujumbe wa ACT na CHADEMA?
Baada ya kupata mwaliko wao waliamua kukata tiketi na kuondoka bila mawasiliano na ubalozi wa Angola?
Nafahami fika kuwa haya mambo ya visa hasa anapokwenda magharibi ya Africa ukitokea Mashariki ni shida. Muda utaongea.
 
Angola wamefanya sawa tu kuwatimua vibaraka wa itikadi za kiliberali kukutana Angola. Kuna DA chama cha makaburu, kuna huyu Mondlane aliyepata asilimia 24 ya kura uchaguzi wa juzi Mdumbiji. Huyu eti anadai ndiye mshindi na anahimiza maandamano ya umwagaji damu dhidi ya Frelimo. Kumetokea uharibifu sana wa mali Msumbiji.
Ccm hawo fitna walioipeleka ili wazuiwe.
 
Back
Top Bottom