Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bro kweli kwa akili yako hili halijafanywa kwa baraka za hao unaotaka wamwite balozi nyumbani?Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
Huu ni uzi chokonoziBro kweli kwa akili yako hili halijafanywa kwa baraka za hao unaotaka wamwite balozi nyumbani?
Unaendaje nchi za watu bila mualiko?Walialikwa au kiherehere tu
Mkuu unafurahisha sana 🤣🤣🤣Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
Ndio waulize haoUnaendaje nchi za watu bila mualiko?
Uhusiano wa Tanzania na Angola is just "ploy"... Hakuna ambacho uhusiano huu unafaidisha upande wowote.... uhusiano huu wa Augustino na Nyerere uliwafaidisha Warusi na Wachina mpaka leo... Hii ni KwaresimaBalozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
Tupate reasons kwanza, kisha ndio ushauri usikilizwe kabla ya kujadiliwa.Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Typical mtanzania 😂Ndio waulize hao
Angola wamefanya sawa tu kuwatimua vibaraka wa itikadi za kiliberali kukutana Angola. Kuna DA chama cha makaburu, kuna huyu Mondlane aliyepata asilimia 24 ya kura uchaguzi wa juzi Mdumbiji. Huyu eti anadai ndiye mshindi na anahimiza maandamano ya umwagaji damu dhidi ya Frelimo. Kumetokea uharibifu sana wa mali Msumbiji.Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Kwani Deborah anatokea wapi? Labor migration nao ni uhusiano mzuri.Uhusiano wa Tanzania na Angola is just "ploy"... Hakuna ambacho uhusiano huu unafaidisha upande wowote.... uhusiano huu wa Augustino na Nyerere uliwafaidisha Warusi na Wachina mpaka leo... Hii ni Kwaresima
Kwanini kwani wao ndio wa kwanza!Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Hao wahuni ndiyo wasabababishe nchi zivunje uhusiano? Nyumbu hovyo kabisa.Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Siku akizuiwa hangaya usimlilie mtuHao wahuni ndiyo wasabababishe nchi zivunje uhusiano? Nyumbu hovyo kabisa.
Haitakuwa sahihi kuvunja diplomatic relation, kwa sababu hawakuzuia Watanzania pekee yake. Kama policy yao hairuhusu foreigner kuingia bila visa, tunachoweza kufanya ni kuzuia raia wao kuingia Tanzania bila visa!Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431