Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hiyo asilimia 24 ndiyo matokeo yake ya kweli? Hizi nchi zetu za Africa zisikie kwa mbali tu!Angola wamefanya sawa tu kuwatimua vibaraka wa itikadi za kiliberali kukutana Angola. Kuna DA chama cha makaburu, kuna huyu Mondlane aliyepata asilimia 24 ya kura uchaguzi wa juzi Mdumbiji. Huyu eti anadai ndiye mshindi na anahimiza maandamano ya umwagaji damu dhidi ya Frelimo. Kumetokea uharibifu sana wa mali Msumbiji.
zingatieni sheria za kimataifa, mila, desturi, utamaduni na ustaarabu wa kidiplimasia katika kuimarisha demokrasia Africa na duniani kote.Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Labda tukumbushane. Hao MPLA ni vile vyama vya kijamaa.Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Swali zuri sana.Mamlaka za serikali ya Angola zinatoa sababu gani za kuzuia viongozi hao ?
Ukikataliwa na Nchi za kiafrica ambazo ni wakala wa Shetani ni Baraka kuu kwa MunguLabda tukumbushane. Hao MPLA ni vile vyama vya kijamaa.
Hapo aliyewaponza ni Lisu labda na rais mstaafu wa Botswana ambaye baada ya kustaafu amekuwa mpinzani na kuanzisha chama chake.
Hao Angola wamejifunza kilichotokea Uganda ambapo Lisu alikuwa anawaamsha hadi Waganda kwenye kongamano Makelele University.
Lisu ajiandae kukataliwa nchi mbalimbali za Kiafrika zenye mrengo wa siasa za kijamaa
Sababu Kuu ni uoga wa kuogopa hojaSwali zuri sana.
Hahahaha!Ukikataliwa na Nchi za kiafrica ambazo ni wakala wa Shetani ni Baraka kuu kwa Mungu
Huo ndio ukweli japo waweza kuwa mchunguUhusiano wa Tanzania na Angola is just "ploy"... Hakuna ambacho uhusiano huu unafaidisha upande wowote.... uhusiano huu wa Augustino na Nyerere uliwafaidisha Warusi na Wachina mpaka leo... Hii ni Kwaresima
angalia picha kwanza. Kwa uvaaji wao wana tofauti gani na wauza mihadarati?Mamlaka za serikali ya Angola zinatoa sababu gani za kuzuia viongozi hao ?
wangelikuwa wamewababua watz pekee ningesema kuna shida, ila kama na wa mataifa mengine wamesimamishwa, kwa nini ulalamike?panga si limepita kwa wote? au ulitaka wakupendelee wewe mtz tu afu wengine warudishwe, wangeelewekaje? na si ukute mlengwa hata hakuwa mtz yeyote. mmeambulia tu.Balozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Hujawai ona?Unaendaje nchi za watu bila mualiko?
Sikutegemea nchi kama Angola kuwa na ujinga wa namna hiiBalozi wa Tanzania Nchini Angola arejeshwe Nyumbani na Balozi wao afukuzwe haraka.
Nchi yetu haiwezi kukubali jambo hili la kijinga.
UBAYA UBWELA
=============
View attachment 3269427View attachment 3269430View attachment 3269431
Huna akili
☝🏿 kwa uvaaji wa kihuni wa namna hiyo, walitakiwa wazuiwe na warejeshwe na pingu tu.
Ati ndiyo viongozi waliokuwa wakienda mkutanoni
ma CHADEMA yamejaa manafiki.
Mungu awabariki wa Angola.
unaumia ukiwa wapi? unampaka mafuta na kumchua Dikteta mbowe halafu ubakie kuwa na akili wewe?Huna akili
Mkuu ulichoandikaa hata wewe ukirudia kusoma unaelewa??.unaumia ukiwa wapi? unampaka mafuta na kumchua Dikteta mbowe halafu ubakie kuwa na akili wewe?
kama unafikiri uzi wako usio na akili ndio umeaneika kwa akili, basi umenishinda.
ongeza baby losheni bwashe
Huyo kijana ni mjinga sanaMkuu ulichoandikaa hata wewe ukirudia kusoma unaelewa??.
Hangaya anakwenda kwa mwaliko rasmi tena unaokuwa ukijulikana miezi kadhaa kabla. Hao waheshimiwa walikuwa na mwaliko wowote wenye kutambuliwa na mamlaka za huko Angola?.Siku akizuiwa hangaya usimlilie mtu
Usilalamike mitandaoni ikiwa unaona kukataliwa ni baraka kwa Mungu.Ukikataliwa na Nchi za kiafrica ambazo ni wakala wa Shetani ni Baraka kuu kwa Mungu