Wito: Tanzania ivunje uhusiano na Angola kwa kuzuia viongozi wa Vyama vya siasa akiwemo Makamu wa Rais wa Zanzibar

Kwa jinsi ninavyofahamu watanzania hatuhitaji kuwa na visa tunapotembelea Angola kwa lengo la utalii. Wanatoa visa ya siku 30 kwa ajili hiyo. Lakini kama unatembelea Angola kwa lengo lingine kama kazi masomo utafiti ni LAZIMA uwe na visa imegongwa kwenye pasi ya kusafiria, vinginevyo utarudishwa kwa Airlines iliyozembea kuhakikisha unatua Angola ukiwa na visa..... Nini kilitokea kwenye ujumbe wa ACT na CHADEMA?
Baada ya kupata mwaliko wao waliamua kukata tiketi na kuondoka bila mawasiliano na ubalozi wa Angola?
Nafahami fika kuwa haya mambo ya visa hasa anapokwenda magharibi ya Africa ukitokea Mashariki ni shida. Muda utaongea.
 
Ccm hawo fitna walioipeleka ili wazuiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…