SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Kama yetu imeparanganyikaChuki ikizidi hata akili inatoka. Duniani kote iko hivyo, mgombea anae endelea ana kuwa na kofia mbili ya Rais na mgombea. Hakuna nchi ina kaa haina kiongozi hata sekunde. Labda nchi hiyo iwe imeparanganyika.