SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Kama yetu imeparanganyikaChuki ikizidi hata akili inatoka. Duniani kote iko hivyo, mgombea anae endelea ana kuwa na kofia mbili ya Rais na mgombea. Hakuna nchi ina kaa haina kiongozi hata sekunde. Labda nchi hiyo iwe imeparanganyika.
Nchi yetu sio yake.Atoke aende wapi? 😹
Nyie ndo mtoke mumpishe ajiachie mama mwenye nchi yake..!!
Ni mawazo yako tu.Kama yetu imeparanganyika
Nchi gani Duniani uliona wanatumia huo utaratibu wako wa kufikirika? Under no circumstance Kiti cha Rais kikabaki wazi kwa kipindi kirefu kiasi hichoNadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais
Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU,
Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa
Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
Eti ehNi mawazo yako tu.
YesEti eh