100% kubwa sana. Sidhani kama kuna kitu kimefika 60%Miaka yote 61 ya uhuru hakuna kitu Tanzania imeweza kufanya kwa asilimia 100 tukajivunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% kubwa sana. Sidhani kama kuna kitu kimefika 60%Miaka yote 61 ya uhuru hakuna kitu Tanzania imeweza kufanya kwa asilimia 100 tukajivunia.
Wanaccm wana maji tele.Kila inzi afie kwenye mlo wake maji yana chama sindano ituingie vizuri.
Kabla ya kuwaza hayo
Jiulize wewe kama mwananchi unafursa ya kuanzisha kampuni kubwa ya kusambaza maji mijini na vijijini je umefanya hivyo au your talent...
Hapo sasa ndio juhudi kubwa zilikuwa zinahitajika kuwaandaa na kuwawezesha ili wawe nguvu kazi ya Taifa na waweze kuwa productivity force badala ya kuwa kizazi cha kuzagaa zagaa mijini bila kuwa na shughuli ya maana ya kufanya kwa ajili yao na Taifa lao.Zaidi ya 79% ni vijana ambao wamezaliwa hovyo na hawana kipato chichote cha kulipa kodi.
Na baada ya muda watu wa fursa haramu watagundua kuwa kumbe maji nayo yakikosekana tutapiga pesa za kutosha !!Sisi Watanzania bado akili na uthubutu vimelala. Subiri kwanza dumu la maji liuzwe kwa sh. 5000/- hapo ndipo akili zitatukaa sawa.
Hao wahuni wameshakataliwa na wananchi toka mwaka 2010 ila wanaingia kwa mtutu wa bundukiTatizo la Tz sio uongozi bali ni wananchi kuweka uongozi wa kipuuzi na kisha hawawezi kuwawajibisha
Inasababishwa na katiba ambayo ilitengenezwa kipindi cha utawala wa chama kimoja ambayo haikuzingatia masuala mengi yanayohusu mfumo wa demokrasia ya vyama vingi !!Tatizo la Tz sio uongozi bali ni wananchi kuweka uongozi wa kipuuzi na kisha hawawezi kuwawajibisha
Kwa hiyo hao wananchi wanasubiri nani awaletee katiba kwenye kisosi?Inasababishwa na katiba ambayo ilitengenezwa kipindi cha utawala wa chama kimoja ambayo haikuzingatia masuala mengi yanayohusu mfumo wa demokrasia ya vyama vingi !!
Mtaji kipimo cha akili uwezo na maarifa.Umempa mtaji?.
Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi?
Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana.
1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia kuondoa kero ya maji kwa wananchi?
2. Hivi ma V8, Mamisafara makubwa, maposho manene wanayolipana yasingeweza kisaidia kuondoa shida ya maji kwa wananchi?
3. Wanakimbiza Mwenge, Wanalipa wastaafu hadi asilimia 80% ya mishahara ya viongozi walioko madarakani, hizo pesa zisingeweza kuondoa kero ya maji ya wananchi?
4. Tumezunguukwa na maziwa makubwa, tuna mito mikubwa, tuna bahari. Hizi serikali za CCM toka mwaka 1961 zimeshindwaje kutatua kero ya maji kwa wananchi?
5. Wanafanya mamiradi makubwa kabla ya kusolve matatizo ya maji, wanajenga uwanja wa ndege Chato, Daraja la kupita baharini Dar, Wakati wananchi hawana maji
6. Wanawalipa Syimbion, shilingi bilioni 300 kwa mkataba wa kihuni ulioingiwa tena kiujanjaujanja wakati mkataba wa awali ulikuwa umeshaisha!
7. Walihonga watu waunge mkono juhudi, ili majimbo yao yawe wazi kisha zitumike pesa za umma kurudia tena chaguzi. Mapesa haya ya wananchi yangesaidia kuondoa kero ya maji
8. Wanatumia mabilioni kulipa wabunge hewa, waliobungeni kinyume cha katiba. Hizo pesa zingesaidia kuondoa kero ya maji
Kwa hakika Watanzania tumechoka na Ujinga, Ukosefu wa maono, Ubinafsi na kukosewa heshima na serikali hii ya CCM.
Wametufikisha katika hatua sasa ya kutufanya tuamke, tusimame, tupambane nayo kwa hali na mali, kwa jasho na machozi kwa kuwa sasa imegeuka kuwa serikali dhalimu, isiyotosheleza haja zetu!
Sasa tunatangaza kuanza maandamano yasiyo na kikomo, kuitaka serikali hii ilete maji, kama haitoleta maji tutayafuata kwa Mawaziri, wao hawakosi maji
Kama haitoleta maji tutayafuata Ikulu, huko nasikia yako mengi hayakatiki.
Haiwezekani tukaendekeza upumbavu huu
Kama hamuwezi kutatua shida ya maji ondokeni, Tokeni madarakani. Hamna legitimacy tena ya kuitwa serikali au viongozi.
Serikali gani nyinyi, hamuwezi chochote. Nyambaafu!
Failure wakubwa nyinyi!.
Kabla ya kuwaza hayo
Jiulize wewe kama mwananchi unafursa ya kuanzisha kampuni kubwa ya kusambaza maji mijini na vijijini je umefanya hivyo au your talent is for waste haya matatizo ya maji ni fursa sie wamiliki wa visima vidogo tunaouzia watu maji tunatamani shida iendelee na pia tunatamani kutambulika ili tupate mikopo mikubwa tusambaze maji kwa watu wengi ikiwezekana mji mzima hii ndio maana ya kuwa mwananchi serikali ituweke sera na kubadili sheria za kuzibeba mamlaka mbalimbali za maji inazomiliki kama vile kwenye mitandao ya simu na redio iweke uwanja sawa iseme ruksa watu binafsi kusambaza maji safi ila kampuni zisajiliwe na zilipe kodi tumalize hili tatizo kwa watanzania ndani ya mwaka maji yatasambaaa kila kijiji.
Hapo sasa !!Kwa hiyo hao wananchi wanasubiri nani awaletee katiba kwenye kisosi?
Acha porojo, toa Ratiba ya maandamano.Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi?
Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana.
1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia kuondoa kero ya maji kwa wananchi?
2. Hivi ma V8, Mamisafara makubwa, maposho manene wanayolipana yasingeweza kisaidia kuondoa shida ya maji kwa wananchi?
3. Wanakimbiza Mwenge, Wanalipa wastaafu hadi asilimia 80% ya mishahara ya viongozi walioko madarakani, hizo pesa zisingeweza kuondoa kero ya maji ya wananchi?
4. Tumezunguukwa na maziwa makubwa, tuna mito mikubwa, tuna bahari. Hizi serikali za CCM toka mwaka 1961 zimeshindwaje kutatua kero ya maji kwa wananchi?
5. Wanafanya mamiradi makubwa kabla ya kusolve matatizo ya maji, wanajenga uwanja wa ndege Chato, Daraja la kupita baharini Dar, Wakati wananchi hawana maji
6. Wanawalipa Syimbion, shilingi bilioni 300 kwa mkataba wa kihuni ulioingiwa tena kiujanjaujanja wakati mkataba wa awali ulikuwa umeshaisha!
7. Walihonga watu waunge mkono juhudi, ili majimbo yao yawe wazi kisha zitumike pesa za umma kurudia tena chaguzi. Mapesa haya ya wananchi yangesaidia kuondoa kero ya maji
8. Wanatumia mabilioni kulipa wabunge hewa, waliobungeni kinyume cha katiba. Hizo pesa zingesaidia kuondoa kero ya maji
Kwa hakika Watanzania tumechoka na Ujinga, Ukosefu wa maono, Ubinafsi na kukosewa heshima na serikali hii ya CCM.
Wametufikisha katika hatua sasa ya kutufanya tuamke, tusimame, tupambane nayo kwa hali na mali, kwa jasho na machozi kwa kuwa sasa imegeuka kuwa serikali dhalimu, isiyotosheleza haja zetu!
Sasa tunatangaza kuanza maandamano yasiyo na kikomo, kuitaka serikali hii ilete maji, kama haitoleta maji tutayafuata kwa Mawaziri, wao hawakosi maji
Kama haitoleta maji tutayafuata Ikulu, huko nasikia yako mengi hayakatiki.
Haiwezekani tukaendekeza upumbavu huu
Kama hamuwezi kutatua shida ya maji ondokeni, Tokeni madarakani. Hamna legitimacy tena ya kuitwa serikali au viongozi.
Serikali gani nyinyi, hamuwezi chochote. Nyambaafu!
Failure wakubwa nyinyi!.
Wewe si mpiga pambio wa chui imekuwaje tena?Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi?